Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Bora mie nafanya kazi na nakula mshahara na pia ni mjasiriamali,sema humu tunatumia id feki unaweza ukute wewe ni mlisha ng'ombe hapa kwangu niliyekulipa jana 70000 umegongea cm kwa kwa binti wa kazi umemunua mb 70 kwa 500 voda leo unaponda wanaotegemea mshahara
ha ha haaaaa yeleuuuwi mbafu ssangu mie....
watu mna maneno
 
Aisee kwenye orodha ya watumishi walio hakikiwa mdogo wangu haonekani ila ni miongoni mwa waliokuwa wamesitishiwa ajira zao namsaidiaje?? Au wao kwenye ile orodha hawahusiki??
 
Aisee kwenye orodha ya watumishi walio hakikiwa mdogo wangu haonekani ila ni miongoni mwa waliokuwa wamesitishiwa ajira zao namsaidiaje?? Au wao kwenye ile orodha hawahusiki??
Muambie awasiliane na Human Resource wa ofisi yake, atapeleka vyeti vitawasilishwa NECTA kama inahitajika, HR wake ndiyo ana majibu yote
 
Back
Top Bottom