Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Jina lako lenyewe umeabdika kwa herufi ndogo hujui maana ya nomino na kivumishi? Unafikiri wewe unajua kuhesabu, kusoma na kuandika mkuu? (Hata 3K's) zinakushindaa, pole sana mkuu
Lakini napiga hela zote za serikali na kitaa wewe house boy subili watu walipwe ulipwe
 
Jina lako lenyewe umeabdika kwa herufi ndogo hujui maana ya nomino na kivumishi? Unafikiri wewe unajua kuhesabu, kusoma na kuandika mkuu? (Hata 3K's) zinakushindaa, pole sana mkuu
Huko kwenu Kirua Moshi msomi ni yule anayeandika kwa herufi kubwa
 
Utakuwa muathirika wa unyafuzi, utapiamlo na udumavu si bure hadi ubongo wako umesimama kufanya kazi
Ningekuwa na rusha ndege kwa akili kama zako kweli? Tulia basi kama huna cha kuongea mbona povu jingi sana, hivi huwa unatumia sabuni gani ?
 
Mbona ume panic sana shida nin ? Mara nyingine kama threed hazikuhusu usiwe una comment, soma pita kushoto, mkwepa kodi mkubwa wewe!
Kwenye ajira nalipa kodi,ila kwenye ujasiriamali nakwepa kodi ndo maana naona kafaida,wewe endelea kulipa ndo uzalendo malipo mbinguni mi najilipa hapa duniani
 
Kwenye ajira nalipa kodi,ila kwenye ujasiriamali nakwepa kodi ndo maana naona kafaida,wewe endelea kulipa ndo uzalendo malipo mbinguni mi najilipa hapa duniani
Biashara ya M 2? wenye biashara hawaongei tulia naona roho inataka kukutoka kisa hasira, acha jazba mkuu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom