Mshahara wa mwanamke huishia hapa

Mshahara wa mwanamke huishia hapa

Wanaume tunapaswa kutekeleza majukumu yetu ya kuihudumia familia lakini pia kwa mwanamke kwa sabau kuhudumia familia sio jukumu lake la msing haimaanishi kutomsaidia mmewe pale anapokwama au kutaka msaada wake,sometimes it happens mwanamke ana kipato kikubwa kuliko mwanaume it doesnt make sense familia kuishi kwenye mazingira ya kawaida/hali ya chini na mwanamke kuendekeza mambo mengine yasiyo na umuhimu sana na familia wakati ana uwezo na familia inaweza/ingeweza kuishi maisha ya juu kidogo.
 
Haya maneno unasema wewe au,"hata siyatetei, uyakute mahali yanaongea...." aiseee, sijui ni manini hayo

ni kweli mkuu! hata siyatetei ni ma actress tu mpaka fikra. halafu ukiyaona unaweza sema yako vizuri kiakili lakini uyakute mahali yanaongea halafu hayajakuona utachefukwa na roho. ni bora wale walio mtaani wenye elimu zao kiasi wakiwezeshwa mtaji wanakuwa wazuri kuliko hawa walioko maofisini, wengi mapichapicha tu!
 
Mijanaume imekua mivivuuuu!!! We ulioa ili nini? Hata bible inajua kua mke ni msaidizi wa mume tu!! Timiza wajibu wako uone kama mke atakusumbua....ila ukiwa goigoi utakujalalamika kuwa mkeo hakununulii boxer!!
 
Mijanaume imekua mivivuuuu!!! We ulioa ili nini? Hata bible inajua kua mke ni msaidizi wa mume tu!! Timiza wajibu wako uone kama mke atakusumbua....ila ukiwa goigoi utakujalalamika kuwa mkeo hakununulii boxer!!

Umesoma uzi vizuri.
 
Nashangaa inamana watu wanataka wake wakumfundisha mtoto tuition?hawa wakishule kiukweli ni mizigo bahat nzuri nimejionea mwenyewe.
 
1.Nguo
2.cosmetics
3.kwao
Kwa wale ndugu zangu mnaooa mtu si kwa sababu ya kumpenda bali kazi yake mtaishia kufa kwa presha na kufunja ndoa, wanawake pesa yao ina macho.
Nawambia nyie wanaume wavivu mnaotafuta mtelezeo.

4. Kibati (wanaita mchezo)
 
Hawa wanaume wa chips mayai hawa full majanga

Wanataka kulelewa

Mwanaume halisi wa kiafrika rijali aliyekamilika halilii mshahara wa mke

Mke mshahara waje hua ni nyongeza tu

Ila hawa wa chips mayai anataka akuoe akiwa amechungulia salary slip yako na kuipigia hesabu, halafu bado anataka kua kichwa cha familia

----- mtupu

Shangaa na wewe! Kichwa my foot! Ukilelewa automatic wewe ni mtoto! Wanafikiri kichwa ni kazi simple!
Authority is earned!
 
Back
Top Bottom