Mshahara wa mwanamke huishia hapa

Mshahara wa mwanamke huishia hapa

Kama mkeo anataka umnunulie kila kitu ilihali ana kazi basi mwanaume ujitambue kua 'una vuna ulichopanda' alafu unakuja huku kupiga kelele....

shemeji vp unamfanyia hivyo ndg yangu Himidin?? Mm mke wangu tunagawana sawa majukumu
 
Mkuu umenena lakini mm nikija oa mwanamke wa hivyo ataisoma namba maana ataponea kwenye kodi tu ndo ntalipa lakini chakula narudi zangu nimeshiba kabisa,,,,na simzalishi hadi ajue matumizi mazuri ya hela zake na wajibu wake,,,sio tu kununua calolyte za kuharibu uumbaji halisi wa Mungu
Mkuu heshima yako, upo sahihi kabisa, huo ndio ukweli wa wanawake wengi, ukipigia mahesabu kipato cha mwanamke andika umeumia, nimeshuhudia wanawake wengi wanafanya kazi ila mpaka hela ya chumvi/kiberiti wanawaomba waume zao.
Ndio maana hata kwenye ndoa anayekuwa na furaha kubwa ni mwanamke na siyo mwanaume chunguza hilo utapata majibu.
Wahenga husema mwanamke hawi na furaha mpaka siku atakapo olewa na mwanamme furaha yake inaisha siku atakapo oa.
 
1.Nguo
2.cosmetics
3.kwao
Kwa wale ndugu zangu mnaooa mtu si kwa sababu ya kumpenda bali kazi yake mtaishia kufa kwa presha na kufunja ndoa, wanawake pesa yao ina macho.
Nawambia nyie wanaume wavivu mnaotafuta mtelezeo.

kama mwanamke anafanya haya na wewe unajiita mwanaume itakuwa wewe ni mwanaume mdhaifu hata ukioa mwanamke golikipa utaendeshwa tu sababu huna maamuzi
 
Inabidi muanze gawana majukumu mapema kabla ya ndoa sasa mtu kuanzia mwakutana wajipendekeza na vihela vyako na yeye ana hela hapo anatafuta sehemu nyingine ya kutumia hela yake maana wewe wampa
 
Timumvurogo leo watakuja kutoa mapovu hapa

Nao wanajiita wanaume

Shame shame shame
 
1.Nguo
2.cosmetics
3.kwao
Kwa wale ndugu zangu mnaooa mtu si kwa sababu ya kumpenda bali kazi yake mtaishia kufa kwa presha na kufunja ndoa, wanawake pesa yao ina macho.
Nawambia nyie wanaume wavivu mnaotafuta mtelezeo.

Mkuu sijui ata nianzie kusemea wapi ila kikubwa nachotaka kusema cc wanaume tumepewa mioyo ya ushupavu ktk maisha uyasemao ni ya kweli ndo maana wahusika imewagusa wanajibu broken
 
Ahsante kwa kuwaeleza team kitonga! Unafanya kazi wapi? Ukisema mhasibu ndoa kesho yake inatangazwa!
 
Kwa hili kuna ukweli,ukitaka ugonvi anza kupanga matumizi ya mshahara wa mkeo uwone atakavyonuna.

Heh!! Yaani kazi afanye yeye kisha matumizi ya mshahara wake upange wewe!!!
Wewe wa kwako anakupangia nani matumizi????
 
Heh!! Yaani kazi afanye yeye kisha matumizi ya mshahara wake upange wewe!!!
Wewe wa kwako anakupangia nani matumizi????

Wanawake wanajua kupanga matumizi ya pesa wenza wao sana,wewe mpangie kwa miezi mitatu tuu chamoto utakiona

Naona mnajisahalisha mkutano wa Beijing
 
Wanawake wanajua kupanga matumizi ya pesa wenza wao sana,wewe mpangie kwa miezi mitatu tuu chamoto utakiona

Naona mnajisahalisha mkutano wa Beijing

Hakuna kupangiana matumizi,wewe timiza majukumu yako uone kama kuna atakayekuuliza chenji umeifanyia nini!
Tatizo wanaume wa siku hizi mnapenda sana mteremko,mnatamani kusaidiwa sana kustawisha uchumi wa familia na mbaya zaidi hamkawii kujisahau mkaona ni jukumu la mke pia!!!
Mkimegewa mnapiga kelele!!!!
Shame!
 
huwa si mnalalamika mfumo dume,huo ndio mfumo shirikishi!!
 
Back
Top Bottom