Mungu alishasema tuishi nao kwa akili !!!
Kwa sababu wana akili nyingi! Kuishi na mjinga ni rahisi sana kuliko mwerevu!
Mungu alishasema tuishi nao kwa akili !!!
ila pale beijing mkutanon c mlipaza saut za haki sawa kwa wote!!2pgen pasu kwa pasu sasa 2one mech itaishaje..,NOTE.Wanawake wa kibongo achen kabsa kuimba nyimbo za kimagharibu(i.e haki sawa),kamwe hamtashnda vita hyo..,waachien kna beyonce,j lo na rihanna inawafaa kwa mazngira ya nch yao na c huku uswahln kwe2!
Hakuna kupangiana matumizi,wewe timiza majukumu yako uone kama kuna atakayekuuliza chenji umeifanyia nini!
Tatizo wanaume wa siku hizi mnapenda sana mteremko,mnatamani kusaidiwa sana kustawisha uchumi wa familia na mbaya zaidi hamkawii kujisahau mkaona ni jukumu la mke pia!!!
Mkimegewa mnapiga kelele!!!!
Shame!
Hahahaaa wanamegewa na akina nani?
Kwa yule ambae hajatendwa na mwanamke atawatetea, nakushaurini vidume wenzagu hata siku moja usiwaamini hao wadudu akiingia kwenye kumi na nane zako fumua kabisa hata kama ana nyumba ya urithi aiuze akuletee hela.
Kuna wanawake wengi wanazilisha familia zao tena kwa kipato chao kidogo. Ni wangapi kati yetu tumekula, kuvishwa na kusomeshwa na mama zetu wakati baba akihangaika na nyumba ndogo au pombe? Hata kwenye maishabya leo ni kwamba kuta za nyumba hazisemi tu... wengi wife anaziba magepu, wanasomesha watoto, wanajenga nyumba etc. Some men kazi kujipaka perfume na kuvaa suti tu ukimkuta barabarani utadhani wa maana
Wa siku hizi hamna hiyo hao walikuwa wa wazamani.
ndo hayo sasa ukiwadharau wanalalamika bora hata angekuwa mkeo tena mara mojamoja sana so iwe tabia! wanapenda ZERO cost sana hawa!hehehehe
umenena,leo kuamka tuu
nikakuta sms inasema
mpenzi nakaribia period,nahtaj ped,will u buy for me???
waolewe mara ngapi au mbado wewe kuona?Akili za kiume umezionaje?
Basi oa mwanamme.
kwani kazi ya mwanaume ni nini? sikunitunza? hayo mengine ziada tu, me mme wangu wala hata huwa haulizi kuhusu mshahara wangu