Mshahara wa miradi ya RUWASA

Ila wana mpango wa kuajiri watu au just watumie nguvu kazi za watu alaf mwisho wa siku kwishnei kila mtu atajijua mwenyewe, na vp kuhusiana na watu ambao walishaajiriwa permanent pale RUWASA mfano wa wahandisi malipo yao yanakuaje?

Tujuzane wakuu kwa wale walioko huko au wenye watu wao huko, isije kuwa sometimes mtu unajitutumua kumbe kazi bure. Na wala sio maswala ya kufichana saa hv ni dunia ya utandawazi. Naomba kuwasilisha
RUWASA ya wapi kila mkoa kuna RUWASA
 
Back
Top Bottom