Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mkuu inavyoonesha una information muhimu kuhusu RUWASA,, kwa sasa upo mkoa gani?
Me nipo singida na nimemaliza Chuo Cha maji mwaka juzi tu HYM hata Mimi nimeomba hizo kazi mikoa ya singida,simiyu na manyara..hata hivyo Kuna mradi wa maji nilipewa na bodi ta Kijiji nisimamie ila umenishinda asee changamoto Ni nyingi Sana watu wa vijijini sio wastaraabu wanakata mabomba makusudi Yale yaliyo kwenye korongo...af kingine huwa mradi ulijengwa toka 2015 kwa hivyo ufisadi ulikuwa mkubwa walikuwa wanakula hela za mafuta ya kwenye mashine hawajazi Tanki..nikaachana na huo mradi nasubiria na Mimi soon nimeambiwa kwenye Mwezi ujao mwanzoni af nasikia utaratibu unaweza kuwa mzuri ukashangaa miezi sita haifiki miezi miwili tu unapewa mkataba
 
Ila wana mpango wa kuajiri watu au just watumie nguvu kazi za watu alaf mwisho wa siku kwishnei kila mtu atajijua mwenyewe, na vp kuhusiana na watu ambao walishaajiriwa permanent pale RUWASA mfano wa wahandisi malipo yao yanakuaje?

Tujuzane wakuu kwa wale walioko huko au wenye watu wao huko, isije kuwa sometimes mtu unajitutumua kumbe kazi bure. Na wala sio maswala ya kufichana saa hv ni dunia ya utandawazi. Naomba kuwasilisha

Mkuu kwan na ww uliomba zile kazi za kujitolea?

Naamini soon wataita watu, tuwe na subra tu, bora mtu upate ujuzi kuliko kukaa bure mbeleni Mungu atafanya wepesi
Yah mkuu niliomba izo niliombea morogoro..
Tuendele kuomba Mungu mkuu ..
Lolote linawezekana.
 
Me nipo singida na nimemaliza Chuo Cha maji mwaka juzi tu HYM hata Mimi nimeomba hizo kazi mikoa ya singida,simiyu na manyara..hata hivyo Kuna mradi wa maji nilipewa na bodi ta Kijiji nisimamie ila umenishinda asee changamoto Ni nyingi Sana watu wa vijijini sio wastaraabu wanakata mabomba makusudi Yale yaliyo kwenye korongo...af kingine huwa mradi ulijengwa toka 2015 kwa hivyo ufisadi ulikuwa mkubwa walikuwa wanakula hela za mafuta ya kwenye mashine hawajazi Tanki..nikaachana na huo mradi nasubiria na Mimi soon nimeambiwa kwenye Mwezi ujao mwanzoni af nasikia utaratibu unaweza kuwa mzuri ukashangaa miezi sita haifiki miezi miwili tu unapewa mkataba
Offcourse najua baadhi ya watu wapo huko wamepewa mikataba Sasa ni waajiriwa waliingia hivi hivi ..
 
Me nipo singida na nimemaliza Chuo Cha maji mwaka juzi tu HYM hata Mimi nimeomba hizo kazi mikoa ya singida,simiyu na manyara..hata hivyo Kuna mradi wa maji nilipewa na bodi ta Kijiji nisimamie ila umenishinda asee changamoto Ni nyingi Sana watu wa vijijini sio wastaraabu wanakata mabomba makusudi Yale yaliyo kwenye korongo...af kingine huwa mradi ulijengwa toka 2015 kwa hivyo ufisadi ulikuwa mkubwa walikuwa wanakula hela za mafuta ya kwenye mashine hawajazi Tanki..nikaachana na huo mradi nasubiria na Mimi soon nimeambiwa kwenye Mwezi ujao mwanzoni af nasikia utaratibu unaweza kuwa mzuri ukashangaa miezi sita haifiki miezi miwili tu unapewa mkataba
Mkuu Hawa ndege John wapo wengi Sana msange 823 kalunde adi ad yombo mbola ..umepita Nini apo
 
hivi hadi maafisa maendeleo ya jamii wanaajiriwa RUWASA ? duh....fursa zikifunguka watu watapata kazi.nimeona tangazo lao wanakiri uhaba wa wafanyakazi na hii ni taasisi moja tu nchini.
 
Anaejua aniambie mkataba wa jumuiya ya watumiaji maji ruwasa upoje,nimepigiwa simu Kanda ya kusini mkataba au mradi ukiisha inakuaje?
 
Najitolea bank kama mkataba wao unafaida mbelen bora niende huko benk kuuza account sio kazi ndogo
 
Me nipo singida na nimemaliza Chuo Cha maji mwaka juzi tu HYM hata Mimi nimeomba hizo kazi mikoa ya singida,simiyu na manyara..hata hivyo Kuna mradi wa maji nilipewa na bodi ta Kijiji nisimamie ila umenishinda asee changamoto Ni nyingi Sana watu wa vijijini sio wastaraabu wanakata mabomba makusudi Yale yaliyo kwenye korongo...af kingine huwa mradi ulijengwa toka 2015 kwa hivyo ufisadi ulikuwa mkubwa walikuwa wanakula hela za mafuta ya kwenye mashine hawajazi Tanki..nikaachana na huo mradi nasubiria na Mimi soon nimeambiwa kwenye Mwezi ujao mwanzoni af nasikia utaratibu unaweza kuwa mzuri ukashangaa miezi sita haifiki miezi miwili tu unapewa mkataba
Sasa kama umekimbia kazi kutokana na changamoto ya watu kukata mabomba je kama wewe ni injinia kazi ya maji utaiweza kweli?

Unless uende mamlaka za maji (ukawe injinia mziba leakage na msoma mita) ila kama utaajiriwa RUWASA basi jua una wakati mgumu sana kama hako kachangamoto ndio kamekufanya uache kazi..
 
Walikuwa hawanilipi posho ya kujikimu just imagine miezi mitatu sijapewa pesa halafu ntaishi vip.akati wanatakiwa wanipe laki mbili hela nilipokuwa napatia ni kwenye new connection ndo napata 30000 za Ufundi maana hata fundi maji na mhasibu alikimbia ikabidi majukumu yote nisimamie Mimi Kama technician vile vile Kama mhasibu... ufisadi wa kutisha hivi wewe unaamini kweli mradi Una faida ya 80000 tu kwa miaka yote mitano akati wateja wapya binafsi wamajumbani Zaid ya 17....DP Zaidi ya 16 ambazo Ni active....nilipofika nikagundua mchezo wao wakaanzaga majungu we hujui tu Visa vya wanakijiji Ni mateso..Kwanza nikapewa Siri wanataka waibe mpka pampu Sasa imagine wamekukuta mashineni peke yako usiku ukivuta maji si watakuua wachukue mashine...miradi mipya iliyojengwa na ruwasa mwaka huu na mwaka Jana ndo mizuri sio ile iliyokuwa chini ya halmashauri..
 
Back
Top Bottom