ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,481
- 89,897
Serikali ya Samia Kupitia Ruwasa imefanikiwa kufikisha maji kwenye Vijiji vyote Tanzania zaidi ya 12,318 kasoro vijiji 1,500 tuu yaani zaidi ya Vijiji 10,800 vimefikiwa na maji ya Bomba.
Kazi iliyobaki ni kuhakikisha inamalizia vijiji vilivyosalia kabla ya 2030.
My Take
Umeme Vijijini vyote
Maji Vijiji Vyote
Zahanati Vijiji Vyote
Samia ni kazi zaidi mdomo kidogo.
View: https://www.instagram.com/p/DUDcKZsjCGI/?igsh=MTY0bDBzMWpscXB3aA==