TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,035
Ni kama wale wanaoandikaga Ngachoka badala ya nachoka sijui G huwa wanaiweka ya nini?UNAJUA MTU ANAWEZA AKAWA ABSENT MINDED AKACHAPA "I" WHICH IS VERY FAR AWAY FROM A
Ni kama wale wanaoandikaga Ngachoka badala ya nachoka sijui G huwa wanaiweka ya nini?UNAJUA MTU ANAWEZA AKAWA ABSENT MINDED AKACHAPA "I" WHICH IS VERY FAR AWAY FROM A
Tutegemee kukenua menoKidogo cha mwenye haki ndicho tukisubiriacho!
mawazo ya kishamba hayo ww jamaa
Nitajie mfano wa nchi ambayo haina hao "watumwa"?Endelea kufugwa ili ulipwe mshahara. Na kama unafanya kazi serikalini subiri kidogo tu jiwe ataanza kuwakopa hata huo mshahara wenyewe. Na kutokana na uliyoyaandika hapa naamini huwezi kuwa competent enough kutafuta kazi mbadala.
Nitajie mfano wa nchi ambayo haina hao "watumwa"?
Ni kwenye uchumi wa nchi ipi kila mtu kajiajiri hategemei mshahara? Kila anayejiajiri kazi zake zote anafanya mwenyewe bila kuajiri wengine? Ni mashamba ya kijima? Kila mwenye daladala anaendesha mwenyewe bila kuajiri driver na konda. Msidakie wimbo wa kujiajiri bila kujua undni wake.
Waajiriwa, iwe wa sekta binafsi au umma lazima wawepo mkatika uchumi wowote tena ndiyo majority.
Wawa tolee tu.. Yule mtumishi anilipe pesa yanguWivu tu! Sio mwajiriwa kaa pembeni kidogo. Mtu kuajiriwa unapungukiwa nini wewe usiyeajiriwa? Komaa na kujiajiri ufanikiwe zaidi.
Got it. That being the case, you are damn right!Niliandika nilichoandika based on the context ya kile alichoandika niliemjibu. In fact yeye aliangalia the other side of what you wrote here i.e. ni upumbavu kujiajiri - kwa mujibu wa huyo mtu.
You are right in that kuna kuajiri na kujiajiri. Sikuwa na maana ya kuwa kuajiriwa ni jambo baya lakini nimemjibu huyo anaedhani kuajiriwa ni ujanja lakini ni upumbavu kujiajiri.
Got it buddy?
F uckEndelea kufugwa ili ulipwe mshahara. Na kama unafanya kazi serikalini subiri kidogo tu jiwe ataanza kuwakopa hata huo mshahara wenyewe. Na kutokana na uliyoyaandika hapa naamini huwezi kuwa competent enough kutafuta kazi mbadala.
F uck
Pole!Toka nimekosa barua ya daraja sina hamu na mshahara wa mwezi huu.
Tumechoka na hvi viuzi vyenu vYa kilA mwezi.