The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,662
- 2,288
Ok
ok thanks mkuuMkuu kwa wikiend hii sijui
ok thanks mkuuMkuu kwa wikiend hii sijui
Kwani umetoka?Wakuu mshahara umeongezwa?
AhhahhaaKwani umetoka?
Vipi tetesi za nyongeza zipoje naskia kimya kimya wanaongeza mkuu?
Ha ha haaaaaKwa wazimu gani alionao aweke nyongeza?
Keshasema vipaumbele vyake ni SGR, Stieglers Gorge, ununuzi was ndege na muhimu zaidi maendeleo ya Chattle.
Wakuu mshahara umeongezwa?
Vipi tetesi za nyongeza zipoje naskia kimya kimya wanaongeza mkuu?
Japo nidanganye mkuu nipate matumaini mana maisha yenyewe mafupi
Vipi tetesi za nyongeza zipoje naskia kimya kimya wanaongeza mkuu?
Japo nidanganye mkuu nipate matumaini mana maisha yenyewe mafupi
Mkuu maumivu niliyonayo namshitakia Mungu. Haiwezekani mtu umeanza naye kazi siku moja halafu yeye apande wewe ubaki. Na ALAANIWE anayepandisha madaraja kibaguzi yeye na uzao wake.Pole!
Hakuna kitu kama icho mwezi huu wa saba
Kweli inauma saanaMkuu maumivu niliyonayo namshitakia Mungu. Haiwezekani mtu umeanza naye kazi siku moja halafu yeye apande wewe ubaki. Na ALAANIWE anayepandisha madaraja kibaguzi yeye na uzao wake.
MnooKweli inauma saana
Eti eeNYONGEZA TUSUBIRI MWAKANI, MWAKA WA UCHAGUZI MKUU....
Pole sanaMkuu maumivu niliyonayo namshitakia Mungu. Haiwezekani mtu umeanza naye kazi siku moja halafu yeye apande wewe ubaki. Na ALAANIWE anayepandisha madaraja kibaguzi yeye na uzao wake.
Kweli kbsPole wewe ambae bado hujajitambua
Yan watz wana viroho vya kichawi kbsYan Hawa wachuuz wanaonaga wivu Sana kwa waajiriwa sijui kwann
Hakika wewe ni mjaluoITM ndo wapi ?
HahahaaaaHakika wewe ni mjaluo
Endelea kuwa mtumwa wa mshaharaPole wewe ambae bado hujajitambua