DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Maskini akipata anataka kila mmoja ajue.
Ngachoka ni kichagga, ikimaanisha kuchoka (nimechoka).Ni kama wale wanaoandikaga Ngachoka badala ya nachoka sijui G huwa wanaiweka ya nini?
Kwani wameongeza % ngapi mkuu...?Maskini akipata anataka kila mmoja ajue.
Wanateseka sana tukiongelea salary humu baadhi wasio waajiriwa wanaleta kejeli nyingi wakidhani waajiriwa wengi hawana njia nyingine za kujiongezea kipato…Wivu tu! Sio mwajiriwa kaa pembeni kidogo. Mtu kuajiriwa unapungukiwa nini wewe usiyeajiriwa? Komaa na kujiajiri ufanikiwe zaidi.
hahaha, wewe si ulisema tayari umepata mshahara na umeongezewa 25%? Dun ia ina mambo, hahaha.Mkuu bank gani?![]()
Mkuu nawe wasubiriKwani wameongeza % ngapi mkuu...?
Kumbe upo makini,,, ile nyongeza kuna mdau aliniambia nikabisha, so ndo nasubiri nione kweli au porojohahaha, wewe si ulisema tayari umepata mshahara na umeongezewa 25%? Dun ia ina mambo, hahaha.
Kwa wazimu gani alionao aweke nyongeza?Kumbe upo makini,,, ile nyongeza kuna mdau aliniambia nikabisha, so ndo nasubiri nione kweli au porojo
You r too lowThe fact kuwa umeona bora utukane umethibitisha kuwa huelewi kinachoongelewa. Hujakatazwa kuajiriwa, after all kuajiriwa ni rahisi kuliko kujiajiri.
Ngoja nimuulize JohnKwani wameongeza % ngapi mkuu...?
BaadoVipi mshahara umetoka ?
Wewe Ni mpuuz, hujui maana ya uchumi,kila mtu akijiajiri je duka lako/biashara yako Nan atanunua ?Lazima uogope, kujitafutia mshahara wako mwenyewe na huku ukiwalipa wengine sio mchezo. Lakini bora mwenye njaa mpaka akanuka lakini akiwa amejiajiri kuliko anaeshiba kwa kutegemea mshahara na salary advance.
Hahaaaa
Tutegemee kukenua meno
Kwan ukiwa mwajiriwa unafungwa kufanya shughuli zingine? Umekariri kila mwajiriwa anategemea mshahara?Endelea kufugwa ili ulipwe mshahara. Na kama unafanya kazi serikalini subiri kidogo tu jiwe ataanza kuwakopa hata huo mshahara wenyewe. Na kutokana na uliyoyaandika hapa naamini huwezi kuwa competent enough kutafuta kazi mbadala.
Yan Hawa wachuuz wanaonaga wivu Sana kwa waajiriwa sijui kwannWivu tu! Sio mwajiriwa kaa pembeni kidogo. Mtu kuajiriwa unapungukiwa nini wewe usiyeajiriwa? Komaa na kujiajiri ufanikiwe zaidi.
Pole wewe ambae bado hujajitambuaPoleni sana mnaotegemea mshahara wa mwisho wa mwezi
Mkuu keki ya taifa ni pana sana.Mkuu nawe wasubiri
Mkuu kwa wikiend hii sijuiVipi mshahara umetoka ?
Mkuu keki ya taifa ni pana sana.
Wafanyakazi wakiongezwa mshahara na mimi kajamba nani nafaidika namna fulani


