Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

acha ukuda ww unataka watu wote wajiajli watu km nyie utakuta mna njaa mpaka mnanuka shame

Lazima uogope, kujitafutia mshahara wako mwenyewe na huku ukiwalipa wengine sio mchezo. Lakini bora mwenye njaa mpaka akanuka lakini akiwa amejiajiri kuliko anaeshiba kwa kutegemea mshahara na salary advance.
 
mawazo ya kishamba hayo ww jamaa
 
Leo zimekamilika siku 30, tukumbuke Julai kuna siku 31 kwa hiyo mwisho wa mwezi ni kesho.
 
Back
Top Bottom