Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Hahah hamna namna tena mkuu,ukijifanya unajenga haraka haraka utashangaa unaletewa ma-auditor mara uhujumu uchumi huo hapo daah.
Kweli mkuu mara watu wa tume ya maadili wakuundie kamati hizi mali umepataje figisu figisu kibao kama yule muhasibu wa takukuru hela zako bado zikunyanyase si bora angetombe..a angekua amefaidi
 
Wakuu vipi hukoo!?? Tupeni ripoti..
TAYARI
IMG-20191019-WA0007.jpeg
 
Wakuu pande za huko vipi? kimeeleweka? huku bila bila ....mwenye namba ya mlipaji mkuu wa serikali pls ili kama mtandao uko down tukaupandishe fasta
 
Back
Top Bottom