Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Watumishi wa umma hawana budi kujiongeza kwa kufanya shughuli ndogo ndogo za kilimo, ufugaji, au biashara nje ya muda wa kazi ili kujiongezea kipato au kuanzisha tu utaratibu wa kujiwekea akiba.

Awamu hii imeshajinasibu kuwekeza kwenye miundombinu, na siyo kwenye ustawi wa wananchi wake wakiwemo watumishi wa umma! Hivyo kwa yeyote anayeishi kwa kutegemea mshahara tu, basi ni lazima ataishi maisha ya tabu sana na ya kulialia.
Kwel kbsa
 
Huu Uzi unafikirisha sana... Maisha ukiyaegemeza kwenye utumwa Wa kazi bila kufikiria nje ya Box , utaishia kufa masikini na kutengeneza kizazi chako kuja kuhangaika duniani ..

Eeh mungu tunusuru.
 
Mbn unapaniki watu kusubiria mshahra kwan kesi wee vipi kila mtu anaishi apendavyo hivyo kupaniki vipi ?
Huu Uzi unafikirisha sana... Maisha ukiyaegemeza kwenye utumwa Wa kazi bila kufikiria nje ya Box , utaishia kufa masikini na kutengeneza kizazi chako kuja kuhangaika duniani ..

Eeh mungu tunusuru.
 
Back
Top Bottom