Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Huu uzi mbona umepoa hivi utadhani sio tarehe zake wakuu!!
 
Mkuu unamshauri mwenzio vibaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah maisha ndo haya haya mkuu,hata kobe ameshaona kujenga ni upuuzi tu akaamua kutembea na nyumba yake kichwani aisee.

Kilimanjaro Lager ni tamu sana.
 
mxewuuuu, ahahhahah, umenichekesha hadi "nikajamba" hahhaahahaahahahahahaahh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah daah polepole mdau..
 
Back
Top Bottom