Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Hivi wanaweka kwa pamoja watumishi wote au wanaweka kwa butch?
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ahsante Mungu, nakushukuru baba wa mbinguni,
ahsante umewezesha hili limefanikiwa, yaani nilitegemea ningepata tangia 19/7/2019 lakini sikuona hadi leo hii 24/7/2019 ndio nimeona.
Nimefurahi sana kupata hii kitu.
NIMEONA SIKU ZANGU, NILIKUWA NA WASIWASI WA KUPATA MIMBA ILA LEO NIMEPATA MP
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
ndo umeandika nn sasa mara mimba mara siku
 
Mshahara umetoka Wakuu niwatakie kazi njema katika kujenga Taifa letu. Wafanyakazi wote hoyeeeee
 
Back
Top Bottom