mtanzania10
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 271
- 81
Write your reply...kwa wale WA nmb tayari salio linasoma
Kitu hichoooooQUOTE]kuna watu nliwaambia kuna nyongeza wakabisha,, embu wape ushuhuda hapa
![]()
Demiss na manengelo ni civil servants, na kwa mapepe yao,ni watumishi wa level ya chini tu!Na wadangaji vile vile,ndo maana unawaona wote wanatrend huku.Ingawa namtaman sana Demiss kwa mapepe yake!Demiss sikuwezi, unatembelea thread Mbili kwa mpigo, kweli vyuma vimekaza
ITM ndo wapi ?
Mwezi uliopita (June) 2019 salary imetika tarehe 19.Kesho ni mwisho wa mwezi tujonge ATM mapema.

Write your reply...kwa wale WA nmb tayari salio linasoma
Mm kama ukitoka itabidi niuchukue ijumaa jioni
Demiss na manengelo ni civil servants, na kwa mapepe yao,ni watumishi wa level ya chini tu!Na wadangaji vile vile,ndo maana unawaona wote wanatrend huku.Ingawa namtaman sana Demiss kwa mapepe yake!
Mshahara ukitokaga tu huu uzi unazima ghafla, ukiona hivi ni dalili kuwa bado ngoma haijasoma..... sio busara kuongea wakati wa mlo.
Tayari kitu imesoma
Pole ya nini tena Mane?Mie sio mtumishi aisee. .mie napita kokote kule aisee sigombwi na mtu..hahaa ! pole pia
Hapana leo utatoka nimeongea na wahusika wenyewe BoT mkuu.
Demiss sikuwezi, unatembelea thread Mbili kwa mpigo, kweli vyuma vimekaza
Demiss na manengelo ni civil servants, na kwa mapepe yao,ni watumishi wa level ya chini tu!Na wadangaji vile vile,ndo maana unawaona wote wanatrend huku.Ingawa namtaman sana Demiss kwa mapepe yake!
Wengine tumeumbukiwa nini?
Pole ya nini tena Mane?