Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Hahahaha nakuja faster
Changamka fasta pm na namba yako ya muhamala wengine tunachukuaga salary advance mwisho wa mwezi kama ivi wengine mkifulia tunakaa bar wenyewe tunasumbua.
 
Hata kama mm wa kiwango hicho ila Nashukuru naweza kujihudumia kuanzia kodi Nauli za kunipeleka popote najilisha chakula chochote navaa nikitakacho kwa hiyo hela yangu ninayoisubiria hapaa. Mkuu kwa usawa wa maguu mtu kama mm au Manengelo tuna soko balaaaa


Ukipata danga la buku fanya kunirushia tu piyemu best..achana na watu wanaojiona wenyew ndo watumishi....hahahaa...hehehehhee hiiihhi
 
Kweli kabisaa wengine mpaka tunaumwaaa
Uongo ni dhambi kubwa sana. Na linapokuja kusema uwongo kuhusu mshahara ni mara mbili ya dhambi ya uongo wa kawaida. Nyie hamjui tuu watu wapo na hali gani? Kuweni na huruma
 
Back
Top Bottom