Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Hili jambo la kuchelewesha Salary ni mpango mkakati wa kutusahaulisha juu ya kinachoendelea Mitandaoni na masikioniwa wananchi !

Watu wataacha kuzungumzia maamuzi yaliyofanywa na Mfalme JUHA! Nakuongelea swala la Salary kucheleweshwa kwa Watumishi wa Serilkali!
wanaotegemea salary from government ni less than 10% ya waTZ.
 
Ewaaaah wanataman mishahara itoke wafanye biasharaaa hawana lolote
Wanajaifanya wanavibiashara vyao wakati vimedoda kisa mishahara haijaingia. Bar zote kumekauka wiki mbili zimepita wanapiga miayo tuu, shenziii
 
Tayar Hahahaha
Mbona masihara sana humu.....

Mwenye uhakika atuambie Tayari au bado!??
IMG_20190626_193848.jpeg
 
Back
Top Bottom