gijos
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,184
- 1,834
Taharifa kutoka jikon mwez huu unapita neutral.hutak andamana[emoji86][emoji86]TANGAZO! TANGAZO!
Yeyote atakae pata taarifa ya kuandama kwa mwezi maeneo ya NMB atupe taarifa haraka ili kesho tusijikute tunaendelea tena na mfungo wa Koresma'
NB:Ikumbukwe kuwa mfungo uliopita mwezi ulionekana tarehe 19 June.