






ngoja tuoneee
Tayari, nendeni kwenye Bank zenu sasa. Ila mkumbuke kuweka akiba, sawa sawa?
😂Wanajaifanya wanavibiashara vyao wakati vimedoda kisa mishahara haijaingia. Bar zote kumekauka wiki mbili zimepita wanapiga miayo tuu, shenziii
Uko Bank gani mkuu???Tayari, nendeni kwenye Bank zenu sasa. Ila mkumbuke kuweka akiba, sawa sawa?
Dahh, kweli aiseee. UMETOKA MKUUTayari, nendeni kwenye Bank zenu sasa. Ila mkumbuke kuweka akiba, sawa sawa?
Dahh, kweli aiseee. UMETOKA MKUU
Nenda bank utapata majibu ya maswali yako.Hii kauli gani? Watanzania huwa tunashau sana kuweka alama ya kiulizo. Inaweza kuwa unaendela kuuliza au kutoa taarifa,
unaota weweKuna increments ndo maana umechelewa,
kuna ongezeko?Nenda bank utapata majibu ya maswali yako.
Kweli aisee 😂😂😂Wanajaifanya wanavibiashara vyao wakati vimedoda kisa mishahara haijaingia. Bar zote kumekauka wiki mbili zimepita wanapiga miayo tuu, shenziii
yeap, la kutosha tu.kuna ongezeko?
hahaha hamna kitu mkuu nimeona kwenye simu hamna ongezekoyeap, la kutosha tu.
ushatoka mbonaHili jambo la kuchelewesha Salary ni mpango mkakati wa kutusahaulisha juu ya kinachoendelea Mitandaoni na masikioniwa wananchi !
Watu wataacha kuzungumzia maamuzi yaliyofanywa na Mfalme JUHA! Nakuongelea swala la Salary kucheleweshwa kwa Watumishi wa Serilkali!
hahaha hamna kitu mkuu nimeona kwenye simu hamna ongezeko
Kuna ongezeko kweli mkuu?yeap, la kutosha tu.
Mi tuu! Fanya urudi basi! Mi hali si hali