Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Kwahyo tz nzima wachuuz sampuli ya hao Ni asilimia ngapi? Kwahyo wewe na kiduka Chalo Cha laki 2 unajiona una biashara? Wakati hiyo laki mbili Ni posho ya kikao Cha Siku moja kwa baadhi ya waajiriwa?Yaani Bakhresa, Mo, Manji, Hans Poppe, Mremi, Olomi (na waachuuzi wengine walioamua kuwa waachuuzi) wawaonee wivu watu walioajiriwa?[emoji16][emoji16][emoji16]
Tutaanza kuwalipa polisi kwanzaJamani mshahara wa July umelipwa? Tupeane taarifa
Na kweli, naona mwezi huu hazina hakuna kitu! Kunauwezekano tukaenda Zaire ambapo walikaa almost miezi 9 bila mshahara!Tutaanza kuwalipa polisi kwanza
Kaijage utafukuzwa Nshamba, Muleba na Kiziba kwa kusema uongo!Tayari
Asante Kwa taarifa mkuuTayari
MhjFanyeni kazi, acheni kulialia.... mbona ukitoka huwa hata hamleti mrejesho...!!
Asante Kwa taarifa mkuu
[emoji23] [emoji23]C ungenisaidia?Kuanzia Leo napunguza mazoea na wewe!Kumbe ndio ulivyo huchelewi kunitangaza!Mbona mi udangaji wako nimenyamaza tu!Sio vizuri kutangaza ya watu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe uiesema mwezi wa 8,chunga sana!
Angalia salio