Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Nilijaza. Full 90% hapa nasubiri alhamis ijayo naweka 100% HOD anapitisha tu ata hasomi. Nchi ngumu sana. Bora opras ya makaratasi alikua anatubana. Hii inamzidia. Nimekuta ofisi flani hod anawapa password ya account yake wajipitishie.
Ndugu mteja tunaomba jina na mahali ulipo kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom