Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
- Thread starter
-
- #61
Kwani nawe hapo ofisini kwako umejulishwa tangazo kama hilo?Pengine hutegemeana na eneo ulipoHivi inawezekana kuishitaki bodi kama una ule mkataba wa makubaliano wa 8%?
Masada wa kisheria tafadhali.
Kwa Mara ya kwanza tangu nimeajiriwa.Haijawahi tokes mwaka uishe bila ya nyongeza ya mshahara
sawa hatugomi kulipa wala hatugomi kuongezwa kwa asilimia ya makato....ona mwanzo ilikuwa 5% ikapanda paka 8%....sasa kwanini wasiipandishe paka walau 10%?....wameipandisha paka 15%?...yaani 7%kw ghafla tuu...ukiangalia sasa hiv maisha yako juu?...kuhusu kulipa wala hakuna tatizo maana mm binafsi naamini bila load board hii elimu nsingeipataLipeni mikopo na wadogo zetu na wenyewe wapate mikopo wakati
mnacheleweshewa mikopo kipindi kile mlikuwa mnagoma na kuandamana mkiisakama bodi iwawahishie mikopo leo hii mnalalamika nini? Dawa ya deni kulipa lipeni mikopo kulalamika haisaidii vifisadi nyie vya reja reja kodi zetu tuwakopeshe hamtaki kulipa lipeni pesa za watu
Katika ng'ombe wite hapa Tanzania wewe ni ng'ombe kasoro mkiaLipeni mikopo na wadogo zetu na wenyewe wapate mikopo wakati
mnacheleweshewa mikopo kipindi kile mlikuwa mnagoma na kuandamana mkiisakama bodi iwawahishie mikopo leo hii mnalalamika nini? Dawa ya deni kulipa lipeni mikopo kulalamika haisaidii vifisadi nyie vya reja reja kodi zetu tuwakopeshe hamtaki kulipa lipeni pesa za watu
Achana nalo hilo , utakuta linaishi kwa shemeji.Mjinga mmoja we , huna uhakika na unalosema.
Hivi kama wewe umeenda Bank kukopa Milioni 3 mkakubaliana kwa mkataba halali baada ya miaka miwili utalipa milioni 4 , marejesho pamoja na riba ni Laki na nusu kwa mfano. Baada ya miezi sita au Mwaka ukakuta tangazo Bank WENYE MIKOPO WOTE KUANZIA LEO MAREJESHO YATAKUWA 350,000/= kwa Mwezi utafurahia ili wenzako wakope eti ?
Jiheshimu basi ndugu usifanye zihaka Msibani kwani hujui kilio kinachofata ni kwa nani.
Mshahara Tatar Mkuu?Huwezo amini nimebaki na laki mbili nlikuwa na mkopo bank plus saccoss ya campuni uwiiiii twafwaaaa
Labda Mahakama kuu itoe tafsiri kama ikiwezekana kwamba mtu aliyekopa kwa makubaliano ya riba asimila kadhaa, je sheria inaruhusu nyongeza ya riba katika kipindi cha LOAN REPAYMENT,yaani katikati ya muda ambao mkopaji analipa, sheria inaruhusu bila ya terms na conditions?Mbona watumishi wengi kuanzia 2015- kwenda chini Mkataba wao na Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ulikuwa ni Kukatwa 8% Sasa hiyo 15% inatoka wapi ni Mkataba Mpya au vipi tena.
Serikali lazima itambue Watumishi wengi
wanamikopo kwenye Taasisi mbalimbali za Kifedha hivyo kupandisha makato kutafanya Watumishi kuishi chini ya Theluthi 1/3 ya mishahara yao hivyo kupunguza tija kazini.
Kwanini hiyo 15% isitumike kwa Waajiriwa wapya kama huko Vyuoni walisaini Mikataba ya 15%.
Vyama vya Wafanyakazi simameni Imara katika hili siyo kukusanya michango mnayokula bila kazi ya maana, nanyi ni majipu tu hamna msaada wowote kwa watumishi. Mishahara haipandi mpo kimya, makato yanaongezeka mpo kimya, sasa mna faida gani kwa Watumishi wa Umma bora mvunje hivyo Vyama ambavyo ni chaka la kumuibia Mtumishi wa Umma.
We kilaza kweliUnapata raha gan kupost umaku..!!¿
Kwa nini hamjitoi kwenye hivyo vyama.Hawan
Hawana msaada wowote ni kukata hela za watu na kuneemesha matumbo yao.
Tuendeleee kuomba mawakili waingilie hapo coz hatuoni michango yao ya kisheriasawa hatugomi kulipa wala hatugomi kuongezwa kwa asilimia ya makato....ona mwanzo ilikuwa 5% ikapanda paka 8%....sasa kwanini wasiipandishe paka walau 10%?....wameipandisha paka 15%?...yaani 7%kw ghafla tuu...ukiangalia sasa hiv maisha yako juu?...kuhusu kulipa wala hakuna tatizo maana mm binafsi naamini bila load board hii elimu nsingeipata