Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,124
Magu kesha angukia pua huyuu mkuu trusted meInaweza kuwa Magu ndiye anayehusika ktk mkakati wa kuikabidhi nchi mikononi mwa chama kingine ili tuone mabadiliko ya kweli, msibeze kila kitu, huu ni mkakati mzuri sana!
Wasiwasi wangu ni juu ya chama gani kipo tayari kupokea kijiti hiki?
Rais anapendwa si unaona takwim chaguzi ndogo hizi ccm inavyoshinda kwa kishindowakati huu magufuli akisimamishwa na halima mdee kwenye kinyang'anyiro cha uraisi halima mdee atashinda kwa kishindo.
Nani aliyekwambia kwamba hatulipi? Au ndo kupenda kushabikia usivyovijua? Tulipokea kwa mkopo na hatuna budi kurudisha kwa taratibu tulizokubaliana, maana ya mkataba ni Maridhiano baina ya mkopa na mkopeshaji...!! Watu wanacholalamikia hapa ni kukiukwa kwa miataba ambao umetuelekeza kulipa 8% na sio maamuzi ya Magu na wenzie ya 15% huu ni ukiukwaji wa mkataba na ni kinyume cha sheria,sema ni vile tu wafanyakazi wa Tanzania vyama vya wafanyakazi vinafanya kazi ya kukilinda chama cha serikali na watu wake hii 15% ingelikua Kenya kungenukaLipeni mikopo na wadogo zetu na wenyewe wapate mikopo wakati
mnacheleweshewa mikopo kipindi kile mlikuwa mnagoma na kuandamana mkiisakama bodi iwawahishie mikopo leo hii mnalalamika nini? Dawa ya deni kulipa lipeni mikopo kulalamika haisaidii vifisadi nyie vya reja reja kodi zetu tuwakopeshe hamtaki kulipa lipeni pesa za watu
Hawana msaada wowote ni kukata hela za watu na kuneemesha matumbo yao.Ni wajibu gani wa vyama vya wafanyakazi kama haki za wanachama wao zinadhulumiwa na kukandamizwa nao wapo kimya nini maana yao
Mjinga mmoja we , huna uhakika na unalosema.Lipeni mikopo na wadogo zetu na wenyewe wapate mikopo wakati
mnacheleweshewa mikopo kipindi kile mlikuwa mnagoma na kuandamana mkiisakama bodi iwawahishie mikopo leo hii mnalalamika nini? Dawa ya deni kulipa lipeni mikopo kulalamika haisaidii vifisadi nyie vya reja reja kodi zetu tuwakopeshe hamtaki kulipa lipeni pesa za watu
Mmmmm! Ni wewe au!Dawa ya deni kulipa
I am sorry JK[emoji24] [emoji24]I am sorry JK !
Mimi ndiye Mkuu.kulikoni kwani?Mmmmm! Ni wewe au!
Kulipa kwa kubambikiziana?