Mshahara wa Februari

serikali inahakiki madeni inayodaiwa nawatumishi tangu 2010 hadi sasa hawajamaliza uhakiki .Je ni lini ilianza na kumaliza uhakiki wa madeni wanayodai kwa hawa wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu?
 
Hujui kuwa vyama vya wafanyakazi ni matawi ya CCM?
 
Jamani 2020 ni mwaka wa kuhakikisha hii haipo tena maana imekua too much!!!

Kila kukicha inakuja style mpya ya kuchukua hela za wananchi na kupeleka central government wakati huo huo nchi haioneshi kufanya progress yoyote zaidi ya wananchi kulia na ugumu wa maisha ambao nao unaongezeka kwa kasi kila kukicha!!!

I think the time for changes is there, it was just delayed
 
wana kura lukuki za foolish majority na bado wanawatengeneza wengine kwenye vijiwe vya ile elimu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…