Mshahara wa Disemba 2017

Mshahara wa Disemba 2017

ha ha ha umeona eh wazo zuri,utoke tu huo mshahara wengine tupewe mgao wa thikukuu na masponsor chaaa...

kumbe bado mnapata mgao toka kwa masponsor....?vyuma vilivyokaza imebidi nijifanye ni muumini wa "kuhonga kunaleta mikosi"
 
kumbe bado mnapata mgao toka kwa masponsor....?vyuma vilivyokaza imebidi nijifanye ni muumini wa "kuhonga kunaleta mikosi"
bado tu wanatoa wale waliokua addicted na kuhonga..si unajua ukiwa mlevi pombe ni ngumu kuacha kabisa
 
Vyuma vinatoa moshi hapa....wakuu hii ni dalili ya nini??
 
bado tu wanatoa wale waliokua addicted na kuhonga..si unajua ukiwa mlevi pombe ni ngumu kuacha kabisa

Mimi nilikua mhongaji haswaa ila nina miaka miwili ivi nimeugua sana ivyo nina allergy ya kuhonga yaani nikishika tu wallet nitoe mzigo basi miguu inavimba,kifua kinabana na moyo unaenda mbio sanaaaaa nikipona nitarudia kuhonga lakini.
 
Tumekusoma kuwa now mguu 1 mbovu hivyo,
 
Vyuma vikatike tuuu, mshahara mpaka tarehe 27 hiyoooo!
Teh teh teh teh teh!!!!!
 
Hawa jamaa wa utumishi mbona hawaaprove promotion zetu, kila kitu kimeshakuwa uploaded kwenye system ya Lawson yaani issue iliyobaki ni kuclick button ya approve tu nayo imekuwa ni tatizo kweli....au hela hakuna huko hazina maana Sizonje alishatoa go ahead. Me nilitegemea mwezi huu mpunga uongezeka ila napokea sms toka bank hapa ila hola hamna ongezeko nimemind saaana hata hizi sikukuu hazina maana kwangu. Pumbafùuuuu.
 
Nasikia mkoa fulani wameamua kumtuma Afisa Utumishi afatilie mishahara kwa mkulu
 
acheni huo utumwa.....ni upumbavu.....naombea wasiwawekee mpaka baada ya xmas
 
Back
Top Bottom