mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
Mzee magu alitakiwa January mshahara auachie kunako tarehe 10 hivi
wew unaishi tz au nchi gn, wengine tumeshamaliza huo mshahara jana... leo bia za mikopo

Are you serious? Aisee mbona salary imetema kitambo mpaka tumeshasahaujaman wadau labda sie wa mashirika tu ndo tumekaushiwa!
mbona mpaka leo mshahara hakuna na vyuma vimeka.................. ( ukimalizia tu jela)
yan ni tete kwelikweli! saa 7 kasoro bila bila
muwe na huruma nyie hazina
Mkuu ni kweli umetoka??? maan wengine twakaa mbali na Benki twaweza panda bus tukakosa Nauli ya kurudiawew unaishi tz au nchi gn, wengine tumeshamaliza huo mshahara jana... leo bia za mikopo
shimo lishatema mbona.zamani.sana.Mkuu ni kweli umetoka??? maan wengine twakaa mbali na Benki twaweza panda bus tukakosa Nauli ya kurudia
Mkuu kuajiriwa ni utumwa,fanya hima ukajiajiri.Binafsi I hate orders and deadlines.Napenda kuwa my own boss.Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
Samahani wenyeji wa uzi huu wamesafiri.Baada ya mishahara kutolewa, sasa watumishi waamuakuutelekeza uzi huu.

Asante mkuu ngoja Nichape WA mguu maana nna Nauli ya kwenda tu icje nikakuta network downshimo lishatema mbona.zamani.sana.
nikusaidie kiasi gani Mkuu nauli ya kurudia maana.pesa yetu twaijuaAsante mkuu ngoja Nichape WA mguu maana nna Nauli ya kwenda tu icje nikakuta network down
Mkuu ni kweli nimepata nipo apa kwenye bar ya mtaa nasikiliza aslay NATAMBAA.......shimo lishatema mbona.zamani.sana.
Mkuu ni kweli umetoka??? maan wengine twakaa mbali na Benki twaweza panda bus tukakosa Nauli ya kurudia

Samahani wenyeji wa uzi huu wamesafiri.
Kama una shida nao nenda urudi baada ya mwaka mpya 2018.
Nakutakia heri ya krismas na mwaka mpya![]()

Wacha bwana, mpaka.tumalize kuzitumbua!TUKUTANE 20 JAN 2018 TUKIHABARISHANA TAARIFA ZA MSHAHARA,SASA TUNAFUNGA UZI HUU KWA MUDA, mode zingatia hilo
HaaaaaahaaahWatumishi wa umma ni majitu ya OVYO sana katika nchi hii ndio maana makufuri anazidi kuyabana kila kukicha huku yamekaa kimya...nyambaFU zenu! Nchi nyingi duniani hukombolewa na watumishi wa umma lakini huku kwetu hali ni kinyume chake.