togetherTight
Member
- May 21, 2017
- 99
- 100
Nimeamua kuzurula humu kupotezea mawazo ya mshahara km weweLala wewe au upo Dunia IPI naona upo online.Au ndo unasikilizia mshahara.
Nimeamua kuzurula humu kupotezea mawazo ya mshahara km weweLala wewe au upo Dunia IPI naona upo online.Au ndo unasikilizia mshahara.
uzushi unaweza ukahesabiwa kuwa uchochezi....beware !!!Heeh..!! hawa hazina hawalali? ? yaani usiku huu ndo wameingiza mshahara wangu, au kwa vile daraja langu jipya bado hawajalipa... matumaini yote pyuuuu..!!!!
Vichwa havifanani vipo vya bange cocaine gongo laana albadir malezi mabaya sikio la kufaHalafu Kuna kitu huwa sikielewi kwa hawa wakosoaji wa MTU anayeulizia mshahara.Kwani si kaufanyia kazi?? Haya wote tukiwa na mashamba hayo mazao atayanunua nani.Si ni kwamba walioajiriwa wakipata pesa ndo wananunua chakula.Ni mgawanyiko tu.Au hawajui kwamba mwisho wa mwezi ndo biashara inakywepo kutoka kwa hao hao mnaowabeza eti wasubiri mshahara .No wafanyakazi wore wakulima nchi itakwenda? Je hao wafanyakazi hawafanyi kitu cha faida Mfano nenda uhamiaji unatafuta passport, visa au chochote zile purukushani za wafanyakazi wake Mpaka unapata .Leo anadai haki ya kazi yake unamponda.Sio lazima wote tukawa wafanyabiashara au wakulima .Kila MTU ni muhimu pale alipo. Na wengine wameajiriwa huku ni wafanyabiashara au wakulima na atadai tu haki yake.Kwani Mpaka kuipata aliisotea!
Halafu Kuna kitu huwa sikielewi kwa hawa wakosoaji wa MTU anayeulizia mshahara.Kwani si kaufanyia kazi?? Haya wote tukiwa na mashamba hayo mazao atayanunua nani.Si ni kwamba walioajiriwa wakipata pesa ndo wananunua chakula.Ni mgawanyiko tu.Au hawajui kwamba mwisho wa mwezi ndo biashara inakywepo kutoka kwa hao hao mnaowabeza eti wasubiri mshahara .No wafanyakazi wore wakulima nchi itakwenda? Je hao wafanyakazi hawafanyi kitu cha faida Mfano nenda uhamiaji unatafuta passport, visa au chochote zile purukushani za wafanyakazi wake Mpaka unapata .Leo anadai haki ya kazi yake unamponda.Sio lazima wote tukawa wafanyabiashara au wakulima .Kila MTU ni muhimu pale alipo. Na wengine wameajiriwa huku ni wafanyabiashara au wakulima na atadai tu haki yake.Kwani Mpaka kuipata aliisotea!

Mkuu ukipewa ramani naomba unishtuemo
Ni upumbavu kutaka kuwaaminisha watu wote unachotaka.Unaijua Bei ya korosho wewe karai?
aise!Ni upumbavu kutaka kuwaaminisha watu wote unachotaka.
Na kwa kuwa huna historia ndio maaana unabwabwaja.
ACHA UTANI NDUGU! HUJUI KAMA HII NI AWAMU YA KUKUSANYA KODI! EBU NENDA TRA UWAAMBIE KUWA UNATAKA KUUZA ICE-CREAM UONE KODI WATAKAYOTAKA!Kujiongeza ni muhimu jamani..
Pleasee...mtaumbukä siku. Uza hata icecream. Zinafaida. Na hukosi hela ya mboga.
WathibitishieWale waliokuwa wakisubilia mshahara wa mwezi wa 12 mzigo umezamishwa tayari,Nawatakieni matumizi mema kumbukeni january ilivyo ndefu
watu wanarudisha frem,,ACHA UTANI NDUGU! HUJUI KAMA HII NI AWAMU YA KUKUSANYA KODI! EBU NENDA TRA UWAAMBIE KUWA UNATAKA KUUZA ICE-CREAM UONE KODI WATAKAYOTAKA!

mtu akirusha tusi la chini ya kitovu utanung'unika ?Wale waliokuwa wakisubilia mshahara wa mwezi wa 12 mzigo umezamishwa tayari,Nawatakieni matumizi mema kumbukeni january ilivyo ndefu
WathibitishieWale waliokuwa wakisubilia mshahara wa mwezi wa 12 mzigo umezamishwa tayari,Nawatakieni matumizi mema kumbukeni january ilivyo ndefu
Kila MTU akisema afungue biashara nani atanunua ya mwenzake,nchi yoyoye lazime kuwe na utofauti wa kimaishaNatamani atoe tarehe 31watu hamjiongezi hata biashara za elfu 10 kwa siku khaa!!
Mkuu usiishi kwa mshahara.Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .