Mshahara wa Disemba 2017

Mshahara wa Disemba 2017

Mkuu usiishi kwa mshahara.
Acha kufikiri kirahisi rahisi.
Mtu akiwa mfanyakazi bado anaweza kua mfanyabiashara Sasa kosa lake nini kuuliza mshahara ilihali amefanya kazi? Au akishakua na biashara na pia ni mfanyakazi basi asiulize mshahara?

Watu wa jf wanajifanya kila mtu kajiajiri wakati ukienda jukwaa la kazi watu kibao wanatafuta kazi yoyote halali.

Watu kibao humu wameajiriwa na wana biashara zao vile vile wana mashamba kibao, pamoja na hayo kuuliza mshahara ni lazima kwa sababu mshahara ndio foundation inayowapa uwezo wa kupanua biashara zao na hata biashara ikiyumba mtu halali njaa maana atapata mshahara wakati anajipanga kurekebisha biashara zake.
 
Achana na nanga hao, usipoteze muda wako kuwaelewesha
 
Anzeni kuchoma vitumbua jioni Kariakoo Wazambia wanaokuja kununua mizigo wanavipenda sana kwa chai
Kulalamika hakusaidii( Hali Mtaani inasikitisha Mangi madukani wanalalamika kukopwa( Aiseeee this is sad kwa kweli)
We unaemwambiz mwenzako achome vitumbua unajua anaishi wapi,anaexpirience gani,na watu wanao mtegemea so sio kila mchoma vitumbua ana mafanikio.
 
Back
Top Bottom