Ndio maana wachangiaji wote wa uzi wamepotea, nadhani sasa rasmi wameiaga ile phase ya "kuwa kuku" na wameanza mzunguko wa "kula kuku", kwenye tarehe 2 mwezi wa kwanza wata "switch" kwenda phase ya "kula chakula cha kuku" kabla ya kumalizia tena na phase ya mwisho wa mwezi ya "kuwa kuku" kisha utaona uzi kama huu umeibuka, what a beautiful life!Mshahara umeshaingizwa jioni hii
HaaaaaahaaahNdio maana wachangiaji wote wa uzi wamepotea, nadhani sasa rasmi wameiaga ile phase ya "kuwa kuku" na wameanza mzunguko wa "kula kuku", kwenye tarehe 2 mwezi wa kwanza wata "switch" kwenda phase ya "kula chakula cha kuku" kabla ya kumalizia tena na phase ya mwisho wa mwezi ya "kuwa kuku" kisha utaona uzi kama huu umeibuka, what a beautiful life!
Nimeitumia mno....ni moja ya kazi bora sana za crdb. Asante mchaga....!Wale wa CRDB kuna salary advance nasikia..
Ndio maana wachangiaji wote wa uzi wamepotea, nadhani sasa rasmi wameiaga ile phase ya "kuwa kuku" na wameanza mzunguko wa "kula kuku", kwenye tarehe 2 mwezi wa kwanza wata "switch" kwenda phase ya "kula chakula cha kuku" kabla ya kumalizia tena na phase ya mwisho wa mwezi ya "kuwa kuku" kisha utaona uzi kama huu umeibuka, what a beautiful life!
vyuma vimekaza bzbuMishahara ni haki za watumishi
HAKUNA PESA INAYOTOSHA.Watumishi wa Umma
Hata tungetoa
Mshahara hata upate 5M hautoshi
Kikubwa ni kupunguza matumz yasiyo ya lazima
Ili kuweza kutosha mwezi mzima na ubaki na akiba kiasi
Majira yamebadilika
Huu ni ushauri wangu
Mshahara hata siku moja hautatosha ikiwa una matumz yasiyo ya lazima
Unaijua Bei ya korosho wewe karai?M
Mpuuzi kabisa wewe, unaijua bei ya mbaazi?
Au ulisimuliwa tu mali utaipata shambani na wewe ukakarii.
tehe tehe!Ndio maana wachangiaji wote wa uzi wamepotea, nadhani sasa rasmi wameiaga ile phase ya "kuwa kuku" na wameanza mzunguko wa "kula kuku", kwenye tarehe 2 mwezi wa kwanza wata "switch" kwenda phase ya "kula chakula cha kuku" kabla ya kumalizia tena na phase ya mwisho wa mwezi ya "kuwa kuku" kisha utaona uzi kama huu umeibuka, what a beautiful life!
Hivi mnalipwa mshahara au masihara ? Ngoja nikomae na boxes.
Hahahaa...Muda upi ni mzuri kukasirika kati ya asbuhi au jioni jamani..
Ngoja nijicheke tu kwa kweli..
Mpunga umeshaingia muda tu mkuu sema network inasababisha hayo. Ni kama utumiwe vocha saa kumi jioni halafu ikufikie saa 4 usiku. Transfer ya Pesa kutoka serikalini kuingia kwenye akaunti yako works the same way sio kwamba watu wamekaa usiku wa manane kuingiza mishaharaHeeh..!! hawa hazina hawalali? ? yaani usiku huu ndo wameingiza mshahara wangu, au kwa vile daraja langu jipya bado hawajalipa... matumaini yote pyuuuu..!!!!
Mbona wengine hatuoni huo Mshahara??? au Mshahara unachagua Akaunti za kuingiaHeeh..!! hawa hazina hawalali? ? yaani usiku huu ndo wameingiza mshahara wangu, au kwa vile daraja langu jipya bado hawajalipa... matumaini yote pyuuuu..!!!!

Mkuu ukipewa ramani naomba unishtuemoMkuu kwa usaawa huu nipe infos nami nijichange huko kubeba box pleaaase..🙂🙂
Usikasirike Asubuhi Mzee, Subiri Mchana ndo ukasirike.Muda upi ni mzuri kukasirika kati ya asbuhi au jioni jamani..
Ngoja nijicheke tu kwa kweli..
Halafu Kuna kitu huwa sikielewi kwa hawa wakosoaji wa MTU anayeulizia mshahara.Kwani si kaufanyia kazi?? Haya wote tukiwa na mashamba hayo mazao atayanunua nani.Si ni kwamba walioajiriwa wakipata pesa ndo wananunua chakula.Ni mgawanyiko tu.Au hawajui kwamba mwisho wa mwezi ndo biashara inakywepo kutoka kwa hao hao mnaowabeza eti wasubiri mshahara .No wafanyakazi wore wakulima nchi itakwenda? Je hao wafanyakazi hawafanyi kitu cha faida Mfano nenda uhamiaji unatafuta passport, visa au chochote zile purukushani za wafanyakazi wake Mpaka unapata .Leo anadai haki ya kazi yake unamponda.Sio lazima wote tukawa wafanyabiashara au wakulima .Kila MTU ni muhimu pale alipo. Na wengine wameajiriwa huku ni wafanyabiashara au wakulima na atadai tu haki yake.Kwani Mpaka kuipata aliisotea!Ndicho kitu ambacho Watu hawajajua mpaka leo.Hela IPO serikalini,je ili mtu wa kawaida ambaye syo mfanyakazi aipate afanyeje? Inabidi huyu akatwe kodi,pili inabidi huyu vyuma vilegezwe ili na yeye aanze kumwaga mpunga mtaani kwa Watu wa kawaida.Mpaka leo Watu hawajashanga kwamba "ni kwa nn mzunguko wa hela haupo mtaani" ni kwa sababu hawa wafanyakazi wamebanwa .
Lala wewe au upo Dunia IPI naona upo online.Au ndo unasikilizia mshahara.Muda upi ni mzuri kukasirika kati ya asbuhi au jioni jamani..
Ngoja nijicheke tu kwa kweli..