mkuu Junior 2
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 282
- 201
Hapa nipo kwenye foleni NMB ATM ubungo naona watumishi wakiingia wanatoka chap chap nadhani mambo safi.
Kujiongeza ni muhimu jamani..
Pleasee...mtaumbukä siku. Uza hata icecream. Zinafaida. Na hukosi hela ya mboga.
Leo wataweka au Kesho maana wasipoweka hizi siku mbili basi mpk J5 tarehe 27, ambapo wakiamua kusubiri mpk trh 27 watakuta vyuma vimeshapasuka
vyuma vitakuwa vimesagika nyang'a nyang'a
Paka grisi mkuuNilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
Bado mjomba,,,Hapa nipo kwenye foleni NMB ATM ubungo naona watumishi wakiingia wanatoka chap chap nadhani mambo safi.

Kumbe ndio maana hawakawii kutokaBado mjomba,,,![]()
![]()
![]()
Mishahara c imetok tangu juzi watu tumeshaimaliza kabisa au nyie wengine bado mi nasubiri ration allowance kisha nijipange na utapel wa kufa mtu mwezi ujao wa kwanza maana hapo sitochomokaBora walipe tu kabla ya sikukuu maana ikiwa baada ya Sikukuu utasababisha madeni makubwa.Ila mtu anayekuwa Na Reserve mwezi January maisha Huwa yanakuwa matamu sana
Unaona Foleni?Ebwana Shimo Limetema Chek Kwenye Mobile Bank Yako Naona Folen Kubwa Hapa NMB
haka ka uzi kana namna yake ya ushawishi aiseeAisee bado. Jamaa ametoka amechukia kweli nilipomuuliza vipi kaniambia bado.
Unaona Foleni?
Au umeangalia na wewe NMB mobile umeona mshahara!![]()
Kuona Foleni hakuJustify kama Mshahara Umetoka.
Hakuna namna ya kuwa upande mmoja acha tuwe pande zote mbili ila Nipe michongo tubebe boksi woteHivi mnalipwa mshahara au masihara ? Ngoja nikomae na boxes.
Hata sasa majungu. Tume huru na mshahara hapa na wapi? Kwanza mwidho wa mwezi bado, ni tarehe 28. Hakuna mkataba wa kuwahisha mshahara kwa sababu ya sikukuu. Mimi ni mwalimu, mshahara wangu unaeleweka. Sina stress. I,m just waiting for the end of the """moon""Poleni watumishi, poleni watanzania.
Daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana