aaaaah vipi aisee? pale toilet umepaachaje au maji hakuna ?Hata sasa majungu. Tume huru na mshahara hapa na wapi? Kwanza mwidho wa mwezi bado, ni tarehe 28. Hakuna mkataba wa kuwahisha mshahara kwa sababu ya sikukuu. Mimi ni mwalimu, mshahara wangu unaeleweka. Sina stress. I,m just waiting for the end of the """moon""
Najua Mimi bhana. hata pakiwa pachafuaaaaah vipi aisee? pale toilet umepaachaje au maji hakuna ?
Subiria hadi jumatatu ...mshahara hàutoshi tafuta mafao mengineNilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
mkuu leo hau betNilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .

Unataka tufukue makaburi ya wale wastaafu WAKUUNani ni mmiliki halali wa AIRTEL? JF members achene ushabiki njooni tuinyooshe nchi
Yaani inaonesha wewe ni mshamba haswaaaa,ishi maisha yako achana na maisha ya watuDuu kama mtu unasubiria mshahara ili uishi ni hatari sana. Yaani huo mshahara haudumu kwa siku 30? Naombeni watumishi wa umma mjipange acheni kujifariji na neno pensionable. Mshahara wenyewe mtaumaliza tarehe 25,26 na 1.
Acha kutokwa na povu huo ndio ukweli tujipangeYaani inaonesha wewe ni mshamba haswaaaa,ishi maisha yako achana na maisha ya watu
hahahahaNgoja nibet nipate ya sikuku.hivihivi ntaaibika

Acha wivuAwape mapema ili mkose sare za watoto wa shule
Watumishi wa UmmaNatamani atoe tarehe 31watu hamjiongezi hata biashara za elfu 10 kwa siku khaa!!