Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Njoo nikukopeshe riba yake 50%Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
Njoo nikukopeshe riba yake 50%Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
KwakweliKujiongeza ni muhimu jamani..
Pleasee...mtaumbukä siku. Uza hata icecream. Zinafaida. Na hukosi hela ya mboga.


Vyanzo vetu vya ki-intelijesia vimetutonya ni hatari kulipa salary kabla ya sikukuu kupita.
Huu Mshahara unahitaji hekima kubwa kuutumia Otherwise January unadharirikaNilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
Bora walipe tu kabla ya sikukuu maana ikiwa baada ya Sikukuu utasababisha madeni makubwa.Ila mtu anayekuwa Na Reserve mwezi January maisha Huwa yanakuwa matamu sanaVyanzo vetu vya ki-intelijesia vimetutonya ni hatari kulipa salary kabla ya sikukuu kupita.
HahahahahaHuu Mshahara unahitaji hekima kubwa kuutumia Otherwise January unadharirika
January lazima vyuma vikatikeBora walipe tu kabla ya sikukuu maana ikiwa baada ya Sikukuu utasababisha madeni makubwa.Ila mtu anayekuwa Na Reserve mwezi January maisha Huwa yanakuwa matamu sana