Jovic Jovic
Member
- Sep 19, 2019
- 51
- 47
Walimu walimu walimu
Vp wamelamba chapaWalimu walimu walimu
Hatari sana..Kina sehemu nilisikia wengine wanaiba hizo sukari na majani ya chai ya ofisini wanapeleka majumbani kwao
Hahahaaaa!!! Wamefanyaje walimu mkuu?Walimu walimu walimu
Waache walimu wasahihishe homeworksWalimu walimu walimu
Hawa jamaa zetu bwana... Sasa kuna mmoja juzi kaenda kukopa kwa ribu sh elfu 70... Kweli? Mtumishi wa ummaHahahaaaa!!! Wamefanyaje walimu mkuu?
Ahahaha sawa mkuuWaache walimu wasahihishe homeworks
Hawa jamaa zetu sijui wana nini na hii mikopo isiyo ya lazimaVp wamelamba chapa
Kuna jamaa yangu hapa ni mhandisi tena mkuu wa idara halmashauri ameenda kukopa mtaani ikabidi akabidhi kadi..yaani ni aibu tupu anaenda bar anakunywa kwa mkopo..sio walimu tu yaani utumishi wa umma ni shidaaaaaa!!Hawa jamaa zetu sijui wana nini na hii mikopo isiyo ya lazima
Salary ndogo sana mkuu afu no marupurupu mengine so asipojiongeza na kaujasiriamali mwezi lazima uwe mrefu kila mweziHawa jamaa zetu bwana... Sasa kuna mmoja juzi kaenda kukopa kwa ribu sh elfu 70... Kweli? Mtumishi wa umma
Dah pombe mpaka unakabidhi ATM Card huo ufalaKuna jamaa yangu hapa ni mhandisi tena mkuu wa idara halmashauri ameenda kukopa mtaani ikabidi akabidhi kadi..yaani ni aibu tupu anaenda bar anakunywa kwa mkopo..sio walimu tu yaani utumishi wa umma ni shidaaaaaa!!
Acha ufala wewe, ata akikopa si anarudisha pesa zake?Kuna jamaa yangu hapa ni mhandisi tena mkuu wa idara halmashauri ameenda kukopa mtaani ikabidi akabidhi kadi..yaani ni aibu tupu anaenda bar anakunywa kwa mkopo..sio walimu tu yaani utumishi wa umma ni shidaaaaaa!!
Kama kawaida uzi ume amukaUzi ushafufuka!?![]()
Acha ufala wewe, ata akikopa si anarudisha pesa zake?
Haha haha mkuki moyoniNdo ww nini?maana huku wote tuna fake id...utanisamehe bureee ila ni ktk kufunzana unawaaibisha watumishi wenzako
Watoto wetu wanafundishwa nini zaidi ya mbinu za kukopa tu.Walimu walimu walimu