Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,605
- 5,185
Wewe uko Benki gani, mbona wenzio wanaserebuka tu hapa?Kwetu bilabila
Wewe uko Benki gani, mbona wenzio wanaserebuka tu hapa?Kwetu bilabila
Nipo Caixa bank SpainWewe uko Benki gani, mbona wenzio wanaserebuka tu hapa?
Wewe ndio Kipepe Comrade, ambaye nilimuuliza hilo swali? Una ID mbili tofauti, ama umeamua kumjibia swali mumeo? JF ina vichekesho sana siku hizi.Nipo Caixa bank Spain
Itanifanya nijue kama kweli tunaishi kwa kutegema mshahara au tunaweza kujiongeza nje ya box ili ku-surviveBaada ya hapo wewe utafadika na nini??
Alafu utafaidika na nini!??
And then!¿?Nitakamilisha utafiti wangu juu ya hali la maisha ya utumishi.
Hali ngumu, huyo mwanzisha thread ndio unaweza kuta anaulizia kama mshahara umetoka yeye mwenyewe.Kila mwezi lazima nione thread ya mshahara
Kina sehemu nilisikia wengine wanaiba hizo sukari na majani ya chai ya ofisini wanapeleka majumbani kwaoHaki ya Mungu watumishi tuna hali mbaya! HApa kibaruani kwangu wametenga bajeti ya chai ya Staff, majani chai, sukari, jiko vipo kimbembe ni vitafunwa maana kila mtu inabidi ajinunulie...tarehe 25 hadi 15 ya mwezi meza za tea room zinachafuka....tarehe nyingine watu wapo "bize" sana hakuna muda wa kunywa chai! Na bado mtu anaanzisha uzi humu akiuliza kwanini majeruhi wa ajali ya moto waliopelekwa Muhimbili karibia 80% wamekufa!
Mkuu hiyo ni kawaida< tunakabidhiana funguo za kabati kwa kuwekeana sahihi! Hivi utumishi wa umma ni kama kugeuzwa msukule?Kina sehemu nilisikia wengine wanaiba hizo sukari na majani ya chai ya ofisini wanapeleka majumbani kwao
Nimejibu Mimi Kama Mimi kwani shida IPO wapi? Au una stress za Makato ya mkopo uliounywea bia bila kutimiza malengo? Pole vumiliaWewe ndio Kipepe Comrade, ambaye nilimuuliza hilo swali? Una ID mbili tofauti, ama umeamua kumjibia swali mumeo? JF ina vichekesho sana siku hizi.
Watumishi mna shida kweli kweli siku usipotoka mshahara mnaweza kutembea bila nguoNina jirani yangu Mwl jioni hii anataka kanikopa 100,000/= ili arudishe kwa riba nafui atakapopata mshahara wa Agosti. Sijajua kama ni utapeli au ni kweli haujatoka kwa vile nilisikia siku hizi mishahara ni kati ya tarehe 19 na 20. Naombeni ukweli mnaojua ukweli kama ni bado au la ili nichukue maamuzi.
Utajibuje wakati hujaulizwa wewe? Wazazi wako ndio wamekufundisha nidhamu ya namna hiyo? Wewe ndio huyo KIPEPE? Au ni wewe ni mkewe ama Nyumba ndogo yake?Nimejibu Mimi Kama Mimi kwani shida IPO wapi? Au una stress za Makato ya mkopo uliounywea bia bila kutimiza malengo? Pole vumilia
Haha haha wataanza kujifanya wanadaiSiku si nyingi utaona mtu anakuja na uzi wa kuulizia iwapo mshahara umeshatoka maana kuna jirani yake anamdai!
Haki ya Mungu watumishi tuna hali mbaya! HApa kibaruani kwangu wametenga bajeti ya chai ya Staff, majani chai, sukari, jiko vipo kimbembe ni vitafunwa maana kila mtu inabidi ajinunulie...tarehe 25 hadi 15 ya mwezi meza za tea room zinachafuka....tarehe nyingine watu wapo "bize" sana hakuna muda wa kunywa chai! Na bado mtu anaanzisha uzi humu akiuliza kwanini majeruhi wa ajali ya moto waliopelekwa Muhimbili karibia 80% wamekufa!
Mkuu uzi ama jukwaa?
We jamaa mjanja janja sana..unatafuta info kwa njia ya kipekee