😤😤😤😤😤😤Heri yako wahi 🏧
😤😤😤😤😤😤Heri yako wahi 🏧
Vipi tena? Si umesema tayari?😤😤😤😤😤😤
😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨Vipi tena? Si umesema tayari?
ndege mzee....jamamni vp salary ya septemba
Ngoma itasoma 25/09....Vuta subira.jamamni vp salary ya septemba
Ungekua na mradi unaokuingizia japo 30 kwa siku usingeulizia salary mda huujamamni vp salary ya septemba
daa hatari sanandege mzee....
sawa sawa wazo zuriUngekua na mradi unaokuingizia japo 30 kwa siku usingeulizia salary mda huu
Kwan kazi anayofanya sio mradi unaomuingizia pesa? Huo mshahara hajaufanyia kazi?Ungekua na mradi unaokuingizia japo 30 kwa siku usingeulizia salary mda huu
umetisha mkuu umempa jibu mujarabu,kwa hiyo kazi ninayofanya asubuhi mpaka saa tisa na nusu sitakiwi kuulizia mal;ipo yangu kweliKwan kazi anayofanya sio mradi unaomuingizia pesa? Huo mshahara hajaufanyia kazi?
Pengine anahisi mshahara labda ni zawadi kutoka kwa mwajiri, wakati ni haki yako kulipwa baada ya kutumikia Kama sisi raia tulivyo na wajibu wa kulipa kodi na kuilinda amani yetu tuliyonayo.umetisha mkuu umempa jibu mujarabu,kwa hiyo kazi ninayofanya asubuhi mpaka saa tisa na nusu sitakiwi kuulizia mal;ipo yangu kweli
Mbona tupo humu salary kwa siku ni zaidi ya hiyo 30,000/= unayoiona nyingi, na bado tunaulizia kama imeshaingia? Tatizo wafanyabiashara ndogo ndogo mnapenda kuvamia uzi wa watumishi wa umma, halafu mnadhani mna kipato kikubwa zaidiUngekua na mradi unaokuingizia japo 30 kwa siku usingeulizia salary mda huu
point taken kakaMbona tupo humu salary kwa siku ni zaidi ya hiyo 30,000/= unayoiona nyingi, na bado tunaulizia kama imeshaingia? Tatizo wafanyabiashara ndogo ndogo mnapenda kuvamia uzi wa watumishi wa umma, halafu mnadhani mna kipato kikubwa zaidi
Halafu wanasahau kwamba wateja wao wengi ni hao wanaowacheka kusubiri mishahara mwisho wa mwezi.wajasiliamali wadogo wana roho mbaya sana kaka watu tume invest time yetu shuleni acheni na sisi tuulizie haki yetu si nimefanya kazi mpaka muda huu niko ofisini
huyo jamaa ajielewi kabisaHalafu wanasahau kwamba wateja wao wengi ni hao wanaowacheka kusubiri mishahara mwisho wa mwezi.
Todayjamamni vp salary ya septemba
Haha haha bora mi muuza nyanya ngogwe karoti nyie watumishi wa umma mnalialia njaa sana afu nawadai pesa zangu mkipata hamkawii kubadili njiaMbona tupo humu salary kwa siku ni zaidi ya hiyo 30,000/= unayoiona nyingi, na bado tunaulizia kama imeshaingia? Tatizo wafanyabiashara ndogo ndogo mnapenda kuvamia uzi wa watumishi wa umma, halafu mnadhani mna kipato kikubwa zaidi
Tuna roho mbaya kivipiwajasiliamali wadogo wana roho mbaya sana kaka watu tume invest time yetu shuleni acheni na sisi tuulizie haki yetu si nimefanya kazi mpaka muda huu niko ofisini