ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 812
- 729
TUNAFUFUA UZIKwani vipi?
TUNAFUFUA UZIKwani vipi?
Nakuonaga tarehe hizi VP mkuu na ww ni wa benki?TUNAFUFUA UZI
Jumatatu huu uzi utatembelewa balaaa jumanne unakufa tena kibudu.Kama kawaida uzi ume amuka
Mimi nalipwa take home 2.5M ila hainitoshi na sina mke

😂 😂 😂Nakuonaga tarehe hizi VP mkuu na ww ni wa benki?
Kesho nenda kwenye ATM ya NMB iliyo karibu ukikuta watu zaidi ya 10 wapo foleni ujue tayari





Nina jirani yangu Mwl jioni hii anataka kanikopa 100,000/= ili arudishe kwa riba nafui atakapopata mshahara wa Agosti. Sijajua kama ni utapeli au ni kweli haujatoka kwa vile nilisikia siku hizi mishahara ni kati ya tarehe 19 na 20. Naombeni ukweli mnaojua ukweli kama ni bado au la ili nichukue maamuzi.
Mkuu ww ndo umechomoa betry ktk huu uziSeptember hiyo






Hahahahha nimefufua uziMkuu ww ndo umechomoa betry ktk huu uzi
Nimepitia zote, ila nimegundua ww ndo umefukua kaburi![]()
Aha,aha,ahaJumatatu huu uzi utatembelewa balaaa jumanne unakufa tena kibudu.
Watumishi wengi wapo hivyo ila walimu wanaongozaKuna jamaa yangu hapa ni mhandisi tena mkuu wa idara halmashauri ameenda kukopa mtaani ikabidi akabidhi kadi..yaani ni aibu tupu anaenda bar anakunywa kwa mkopo..sio walimu tu yaani utumishi wa umma ni shidaaaaaa!!
Inasikitisha kwa kweliWatoto wetu wanafundishwa nini zaidi ya mbinu za kukopa tu.
Yaani sanaInasikitisha kwa kweli
Muda badosemeni lolote basi
Kuhusu salary ya September?semeni lolote basi
semeni lolote basi
TayariKuhusu salary ya September?
Heri yako wahi 🏧Tayari
🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄