Umejiquote mwenyewe na kuji reply wewe mwenyeweJaman
🤯🤯🤯🤯🤯🤯
Kaazi kweli kweli
Umejiquote mwenyewe na kuji reply wewe mwenyeweJaman
Unazuga pambana na hali yako sanaa kila mahali kwasasaNina jirani yangu Mwl jioni hii anataka kanikopa 100,000/= ili arudishe kwa riba nafui atakapopata mshahara wa Agosti. Sijajua kama ni utapeli au ni kweli haujatoka kwa vile nilisikia siku hizi mishahara ni kati ya tarehe 19 na 20. Naombeni ukweli mnaojua ukweli kama ni bado au la ili nichukue maamuzi.
Tumeyataka wenyewe kwa kuingizwa mkenge na baadhi yetu! Majuto sio mjukuu tena ni Babu yetu sasa hiviKila zama na kitabu chake, zamani walimu walikuwa wakopeshaji kwa wengine, leo sungura anakimbiza mbwa
Bilabila,mpira baado ndiyo kwanza dakika ya 10 bado dk 80ngapingapi hukoooooooo
lohBilabila,mpira baado ndiyo kwanza dakika ya 10 bado dk 80
Huko hospitalini hali mbaya kabisa. Nina jamaa yangu ni daktari tunamheshimu sana mtaani maana amesoma pale Muhimbili karibu miaka 10 mfululizo. Elimu kubwa sifa kubwa. Majuzi nikawa na shida nikamtafuta ofisini, nilichoka! Kumbe hata mwalimu wa la saba ana nafuu sana ya mazingira ya kazi kuliko hawa mabingwa wa tiba! Kwanza hana ofisi wala kiti, nafasi ni za kusogezana na manesi kwenye kachumba kadogo pale Mwaisela wodini. Pili, ni hizo chai za rangi na mafurushi ya vitumbua na karanga wanayogawana kwenye vikombe vilivyochoka sana! Yaani ofisi haina tofauti na wauza samaki wa ferry! Yaani mtu anasoma vile akafanye kazi mazingira gani yale?Haki ya Mungu watumishi tuna hali mbaya! HApa kibaruani kwangu wametenga bajeti ya chai ya Staff, majani chai, sukari, jiko vipo kimbembe ni vitafunwa maana kila mtu inabidi ajinunulie...tarehe 25 hadi 15 ya mwezi meza za tea room zinachafuka....tarehe nyingine watu wapo "bize" sana hakuna muda wa kunywa chai! Na bado mtu anaanzisha uzi humu akiuliza kwanini majeruhi wa ajali ya moto waliopelekwa Muhimbili karibia 80% wamekufa!
Endelea kutamanihuwa natamani siku moja mishahara ichelewe mpaka kwenye tarehe 30 hivi tuone vilio vyake
Hahaha kachanganikiwaUmejiquote mwenyewe na kuji reply wewe mwenyewe
Kaazi kweli kweli
Hali tete, kuishiwa kusikie tu mkuuHahaha kachanganikiwa
Baada ya hapo wewe utafadika na nini??huwa natamani siku moja mishahara ichelewe mpaka kwenye tarehe 30 hivi tuone vilio vyake




Alafu utafaidika na nini!??huwa natamani siku moja mishahara ichelewe mpaka kwenye tarehe 30 hivi tuone vilio vyake