Mshahara wa Agosti 2019

Mshahara wa Agosti 2019

Mwanaume utakubalije kushikiwa mshahara wako mpaka mwisho wa mwezi ilhali una masters yako mkononi pambana jiongeze tumia maarifa jiajiri usiogope siku zote penye maono pana mafanikio
Ukijiajiri, hutakuja kuajiri wengine? Hao utawalipa nini kama sio mshahara?
Labda kazi zote utazifanya mwenyewe. Kumbuka hata changu kaajiri msichana wa kazi
 
Nina jirani yangu Mwl jioni hii anataka kanikopa 100,000/= ili arudishe kwa riba nafui atakapopata mshahara wa Agosti. Sijajua kama ni utapeli au ni kweli haujatoka kwa vile nilisikia siku hizi mishahara ni kati ya tarehe 19 na 20. Naombeni ukweli mnaojua ukweli kama ni bado au la ili nichukue maamuzi.
Mkuu badilisha maisha yako
Maisha ya kutegemea mshahara sio mazuri kwa afya ya familia yako.
Jitoe ufahamu anza kuuza vitumbua ,maandazi na nyanya
 
Mkuu badilisha maisha yako
Maisha ya kutegemea mshahara sio mazuri kwa afya ya familia yako.
Jitoe ufahamu anza kuuza vitumbua ,maandazi na nyanya
Ungekuwa sahihi kama ningekuwa mkopaji. Mimi ni mkopwaji.
 
Hivi wanaopenda kuulizia mishahara ni wafanyakazi wa halmashauri? Walimu au maana kila mwezi lazima waulizie mshahara
Itakuwa ni halmashauri mkuu maana wana viwango vidogo sana vya mshahara
 
Nina jirani yangu Mwl jioni hii anataka kanikopa 100,000/= ili arudishe kwa riba nafui atakapopata mshahara wa Agosti. Sijajua kama ni utapeli au ni kweli haujatoka kwa vile nilisikia siku hizi mishahara ni kati ya tarehe 19 na 20. Naombeni ukweli mnaojua ukweli kama ni bado au la ili nichukue maamuzi.
Kwanini uudhalilisheualimu? Ungeuliza tu bila kumtaja mwalimu usingejibiwa? Mpumbavu mkubwa wewe. Mwalimu kakupa ujuzi ulionao halafu unautumia kumdhihaki?
 
Jamaa mjanja huyu,sidhani kama kuna shida kama angeuliza tu moja kwa moja kama mshahara umetoka!?
 
Back
Top Bottom