Na kweli.Zimetumika sadeki. Watu wavumilie
Na kweli.Zimetumika sadeki. Watu wavumilie
Wewe mtumishi umetumia trick nzuri sana kujua kama mmeshawekewa salary!!Nina jirani yangu Mwl jioni hii anataka kanikopa 100,000/= ili arudishe kwa riba nafui atakapopata mshahara wa Agosti. Sijajua kama ni utapeli au ni kweli haujatoka kwa vile nilisikia siku hizi mishahara ni kati ya tarehe 19 na 20. Naombeni ukweli mnaojua ukweli kama ni bado au la ili nichukue maamuzi.
Upo sahihi, lakini rejea mshahara tajwa kule juuNampa mfano tu kwamba kufanya shughuli zako hakumaanishi usiwe na mshahara.
Najua jamii zetu hizi hawajui kwamba hata akiwa na biashara ndogo kiasi gani lazima ajipangie mshahara. Labda ni somo la siku nyingine.
Tembo kanya anaongoza goli moja, rangi nyekundu naona wanatumbua machoooo
Mwanaume utakubalije kushikiwa mshahara wako mpaka mwisho wa mwezi ilhali una masters yako mkononi pambana jiongeze tumia maarifa jiajiri usiogope siku zote penye maono pana mafanikioMshahara unatoka ijumaa mkuu, maana ukitoka kati kati ya wiki watu watalewa na kushindwa kuja kazini... So salary bado...

Ndio maana sitahama nchi yangu, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿tayari mkuu
kwa nini mkuu?Ndio maana sitahama nchi yangu, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwa kuwa umesema mshahara umetokakwa nini mkuu?
hahahah natania bossKwa kuwa umesema mshahara umetoka
👁👁👁👁👁👁👁👁👁hahahah natania boss


