tongelao
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 797
- 2,236
Kwahiyo... Unatafuta mke ww domo zege, shule zikifungua urudi while tuuMimi nalipwa take home 2.5M ila hainitoshi na sina mke
Kwahiyo... Unatafuta mke ww domo zege, shule zikifungua urudi while tuuMimi nalipwa take home 2.5M ila hainitoshi na sina mke
Kwahiyo... Unatafuta mke ww domo zege, shule zikifungua urudi while tuu
🙆🏽♂️🙆🏽♂️Haki ya Mungu watumishi tuna hali mbaya! HApa kibaruani kwangu wametenga bajeti ya chai ya Staff, majani chai, sukari, jiko vipo kimbembe ni vitafunwa maana kila mtu inabidi ajinunulie...tarehe 25 hadi 15 ya mwezi meza za tea room zinachafuka....tarehe nyingine watu wapo "bize" sana hakuna muda wa kunywa chai! Na bado mtu anaanzisha uzi humu akiuliza kwanini majeruhi wa ajali ya moto waliopelekwa Muhimbili karibia 80% wamekufa!
Ni kawaida yake kuulizia mshahara kiujanja ujanja Mkuuhahahaha, bahati yako umefunga a/c nilitaka niweke tena ule uzi wako ambao unamdai jirani yako. hahahahahahahah
Aaa wapi, wema utoke wapi? labda hadi Ijumaa ndio naweza kusema wema upo. hahahahahahahaahahaMkuu kwema?
Mtaani unazurura tu?lingetengwa jukwaa maalum kwaajili ya wanaopokea mshahara tu, maana sisi tuliopo mtaani tuna Jukwaa letu la ajira pia
Mtoa mada amezungumzia mshahara Wa watu jamii ya bakhresa?Mtaani unazurura tu?
Ujue hata Bakkresa ana mshahara wake.
Nampa mfano tu kwamba kufanya shughuli zako hakumaanishi usiwe na mshahara.Mtoa mada amezungumzia mshahara Wa watu jamii ya bakhresa?
Zimetumika sadeki. Watu wavumilieMshahara unatoka tarehe 24