Mshahara ushatoka uko mitano tena

Watumwa meno yote nje, sisi wengine kilasiku tunajilipa sio mpaka tusubiri rehema za mwajiri.
Daah, kwanini uoneshe chuki nzitoooo kwa jambo la uongo.

Roho mbayaa kwasababu ya mshahara wa mtu.

Punguzeni wivu, chuki na roho mbayaa.

Nanm hata huo mshahara haujatoka
 
Kwanza mishahara inatakiwa itoke mara mbili Kwa mwezi hii biashara ya Hadi mwisho wa mwezi ni utumwa sana.
Tarehe 15 na tarehe 30
Mambo ya jeshini haya mkuu, ila huko kwingine ni balaa tupu
 
Mama kashacheka uko angalia NMB 😂
Mnashangilia kama mazuzu, huo mshahara umepewq bure bila kufanya kazi? Eti "mama kashacheka" akili kama hizi huwezi kuona unastahili unachopata kwa jasho lako ila utaona kama unapewa fadhila !
 
Hakuna chuki bali huo ndio ukweli kwamba kuajiriwa ni utumwa.
Hata kufanya biashara ninutimwa kwa mteja na serikali.
Mshahara upi sasa wa kusababisha niwe na roho mbaya? Hizo laki kadhaa ndiyo zifanye niwe na chuki?
NInyi watu wa biashara ndio mko bize na wivu kwa hivyo vilaki.

Huwezi kuona Mwajiriwa anasema vibaya, ila vibuyu kama nyie ambao tuvibanda twa tigo pesa, mna chuki nzitoooo kama paka shume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…