Mshahara umetoka lakini hauna nyongeza

Mshahara umetoka lakini hauna nyongeza

Salary out lakini hakuna nyongeza yoyote. Acha tuisome 1 3 47889

Wewe nawe unashangaza jamii. Sasa kama hizo pesa ni kidogo wewe ungesusa tu huo mshiko au ungezichukua kisha kuzichana mbele ya bosi wako huku ukimtukana kuwa huwezi ishi kwa mshahara huo ukizingatia una machangu na mke wa ndoa unaowatunza. Kwa vyovyote angekuonea huruma na kukuongezea mshahara.
 
Iv in kweli kwamba ataweka na nyOngeza ya miezi miwili nyuma kwa mshaara wa mwezi wa 9
 
Wewe nawe unashangaza jamii. Sasa kama hizo pesa ni kidogo wewe ungesusa tu huo mshiko au ungezichukua kisha kuzichana mbele ya bosi wako huku ukimtukana kuwa huwezi ishi kwa mshahara huo ukizingatia una machangu na mke wa ndoa unaowatunza. Kwa vyovyote angekuonea huruma na kukuongezea mshahara.

umemaliza??? nyie ndo vilaza tunaowatafuta
 
endapo mwezi huu usipokuwa na nyongeza ya mshahara nashauri wafanyakazi wagome na waingie barabarani na mabango ya kutosha kama sheria yao inavyosema...maana hadi sasa TUCTA ipo kimya maana raisi Wa CWT ndio huyo huyo Wa TuCTA sasa tusitegemee lolote kutoka kwake...haiwezekani mfanyakazi awe na mshahara huo huo kwa miezi 14+ huku bei ya vitu ikipanda Mara dufu....huu ni uuaji.

wafanyakazi amkeni..tuungane October...
 
Unapozungumzia wafanyakazi, ondoa waalimu maana wao kama wamerogezewa hivi.

Hata kama wangekuwa na shida buku, hawagomagi ng'ooooo.
 
fake ID??????? huwezi kuhamashisha watu wakati ww umejificha kuwa Verified then we can start from there inawezekana ww ni mfanyabashara then unawadanganya wafanyakazi kumbuka migomo nayo ni lazima ifate sheria la cvyo utakichoma moto kibarua chako
 
Wathubutu kugoma ndio watajua magufuli ni boss wao au la
 
Kabla ya kugoma wafikirie kwanza.kwamba kama wakiondolewa serikali itapata hasara gani???

Unaweza goma kesho unafika getini mlinzi anakukabidhi barua ya kufukuzwa kazi.
 
Wacha wagome wafukuzwe wote sisi tulio mtaani tuajiliwe.. unajua idadi ya watu wasio na kaz na wana sifa n wangapi tz?
 
Wafanyakazi wanafika kazini asubuhi kabisa anasaini kitabu cha mahudhurio kinachofuata baada ya hapo anajua yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom