Andika fresh mkuu huelewekiHapo wamebasilisha mikataba ya kila july sasa inakuwa mtu akipsnda hhaha sawa tuu ila askali wao hawana hewa sijui
Hongera mkuu, mimi sijaona punguzo la hiyo 2% zaidi ni kukatwa kiasi cha sh 5000 na sijui imepelekwa wapiTeh,lile punguzo la 2% kwangu imeongezeka buku 3..