Hapana mkuu tunaisoma taratiiiiibu.Wafanyakazi wenye kadi za CCM wao wameongezwa mishahara?
Wapigie kitengo Huduma kwa Wateja cha Benji ya NMB,watakusaidia.Naombeni msaada wakuu,nimehamisha pesa kutoka Nmb mobile,kuileta M _pesa..lakin haijaja ila salio kwa account limekatwa.nafanyeje?
Du ni kweli asilimia mbili ya mshahara wako ni buku mkuu?Teh,lile punguzo la 2% kwangu imeongezeka buku 3..
Reflection ya hiyo 2% ni only Tshs 3,800/-. So changes utaziona sio kwenye Malaki wala Ma Kumi Elfu, la hasha, ni kwenye maelfu tu!!Dah naona hela ni ile ile japo wametoa 2%
Sio kautaratibu ila ni Mkataba ulio sign wewe na Mwajiri wako, hivyo ni sheria maana mlikubaliana kila tar 1Julymkuu kautaratibu tu ambako tumekazoea kwa miaka mingi
sio suala la Ahadi hapa, Magu Mwenyewe haya aliyakuta angeyaacha kama yalivyo! Mikataba yetu ya ajira inasema kila tar 01 July kutakua na incerement, na mikataba hii imesainiwa na Mwajiri kama ishara ya kukubali kutekeleza hilo kwaiyo kwa hili Mkulu amevinja makubalianoMliahidiwa nyongeza??
Ni uchungu sana Mtu kufanya kazi vile anavyotaka yeye badala ya kufuata na kuheshimu ymutaratibu iyo 2% ya Kodi aliyotupunguzia angeiacha tu ila angefuata utaratibu wa kutufuta machozi hata ya kutuongezea fedha ya Mafuta litre 1Ulimuelewa vizuri hapa kazi? alisema kwanza anapambana na hewa ya hydrogen peroxide akishaasafisha ndio mambo mazuri yatakuja kwale pyurities. Hivyo muwe na subira miezi miwili aliyoahidi mbado cha msingi chapa kazi kwa juhudi na maarifa.
wale waliokua waneshusha madaraja yao mapya wamerudishiwa madaraja
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]mwaka huu ni mwendo wa kuisoma No. Hata kwa tochi
unaenda kuchukua mshahara huku unaimba kale kawimbo mbele kwa mbele
Hahaa hii si mchezoTeh,lile punguzo la 2% kwangu imeongezeka buku 3..
Usipende kufanya muamala kwa nmb mobile tarehe hizi ni usumbufu sanaNaombeni msaada wakuu,nimehamisha pesa kutoka Nmb mobile,kuileta M _pesa..lakin haijaja ila salio kwa account limekatwa.nafanyeje?
Wait 24hours either itarudi a/c ya nmb or m pesaNaombeni msaada wakuu,nimehamisha pesa kutoka Nmb mobile,kuileta M _pesa..lakin haijaja ila salio kwa account limekatwa.nafanyeje?
Ahsante kwa ushaur mkuu,,sito rudia teena.ila nashkuru sms ya M pesa imeingia asubuh ya leo...wameniwekea tayar.Usipende kufanya muamala kwa nmb mobile tarehe hizi ni usumbufu sana