Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 744
- 660
Naombeni msaada wakuu,nimehamisha pesa kutoka Nmb mobile,kuileta M _pesa..lakin haijaja ila salio kwa account limekatwa.nafanyeje?
mtandao wa voda nyakati hizi mishahara inapotoka huwa una tatizo kama hilo la kuchelewa kwa hela ukitoa bank kuwa na subira mkuu mtandao ukiwa poa itakuja ila ikifika asubuhi haijaja fanya kuwahi bank fasta kusolve hiyo ishu