Mshahara umetoka lakini hauna nyongeza

Mshahara umetoka lakini hauna nyongeza

endapo mwezi huu usipokuwa na nyongeza ya mshahara nashauri wafanyakazi wagome na waingie barabarani na mabango ya kutosha kama sheria yao inavyosema...maana hadi sasa TUCTA ipo kimya maana raisi Wa CWT ndio huyo huyo Wa TuCTA sasa tusitegemee lolote kutoka kwake...haiwezekani mfanyakazi awe na mshahara huo huo kwa miezi 14+ huku bei ya vitu ikipanda Mara dufu....huu ni uuaji.

wafanyakazi amkeni..tuungane October...
Uoga na njaa zimetujaa hatujiamini,cc vijana tunaweza ila walio tutangulia watatusaliti
 
Back
Top Bottom