Mshahara Umeshatoka?

Mshahara Umeshatoka?

Mwezi haujaisha walalamike ikifika tarehe 1 September kama watakuwa bado hawajalipwa.
Mtoa Uzi nadhani ametoa maoni yake kuwa kuwe na tar. Fixed ya kutoa mishahara, kama ni tar 30 iwe ni 30 na kama ni 23 iwe 23 mimi nimemuelewa hivyo
 
Baada ya serikali katika miezi iliyopita kujaribu kulipa mishahara tarehe 22/23 ya kila mwezi,sasa inaonekana ilikuwa nguvu ya soda.
Watumishi wa umma wamesikika wakitaka serikali iwalipe kwa tarehe hizo hizo hasa ukichukulia wanavyonyanyasika tangu iingue madàrakani
Tunaisoma namba!!
 
Tarehe rasmi ni ipi?
Kama ni tarehe 25 ya kila mwezi mbona bado? Tusichanganye madesa kama tarehe 25 iliangukia Jumapili hivyo watumishi wakalipwa tarehe 23 siku ya Ijumaa!
Hilo neno 'kama' linadhihirisha huna uhakika, lakini ajabu yake ukaendelea kuweka hitimisho!
 
Afadhali kama na wengine hamjapata maana nilidhani ni mimi peke yangu, nikaanza kuhisi huenda nimechanganywa kwenye watumishi hewa kimakosa
 
kuna jamaa anaongea kwa unyonge humu,dah,anasema.....sijui watatuongezea mshahara,nina hamu naoo.......afadhari na nyinyi bado nilifikiri ni mimi peke yangu nimechanganywa na watumishi hewa
ha ha ha usijipe moyo unawezekana umechanganywa
 
hazina pakavu tunatafuta benk ya kukopa mana jamaa kila kikao anatangaza ubabe anyooshe mkono kama kuna mfanyabiashara alinichangia mimi.
 
hazina pakavu tunatafuta benk ya kukopa mana jamaa kila kikao anatangaza ubabe anyooshe mkono kama kuna mfanyabiashara alinichangia mimi.
mh,mkuu acheni roho mbaya,ebu toeni hilo boom,hili huyu mpangaji wangu anilipe changu!
 
Back
Top Bottom