DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,099
Asante mkuuahahaha!pole mkuu
Asante mkuuahahaha!pole mkuu
Mafanikio yepi tena?nipe siri ya mafanikio yako!
mkuu,nasikia limetema!vp ni kweli?Mafanikio yepi tena?
Nasikia hivyo lkn sijajaribu kuugusa. Nasubiria ifike tar 31/08. Wanaonidai wazidi kunisubiri.mkuu,nasikia limetema!vp ni kweli?
tena sanaHatari sana
dah,kazi ipo!Hela Tayari nimehakiki ila nyongeza no
Kwenye mpira unaitwa usajili wa mkopo....serikali imewakopaHela Tayari nimehakiki ila nyongeza no
HahahaaaTayari
Nimekuta watu wako kwenye foleni kama wanapewa hela ya bure
Pole sana mkuu.. Utakuwa mtumwa mpKa lini??Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba!
Vipi?Shimo Lishatema?
Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha!
Nawasilisha!
mkuu,tunakoenda nitaanzisha biashara ya duka ili kuzungusha helaPole sana mkuu.. Utakuwa mtumwa mpKa lini??
ahahahaHahahaaa
masikhara hayo,ahahaha!Tayari
Nimekuta watu wako kwenye foleni kama wanapewa hela ya bure
dah,ahahahaKwenye mpira unaitwa usajili wa mkopo....serikali imewakopa